Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

78964864.jpg
 
Inaelekea Wareno watawanyamazisha Wafaransa. Kitu ambacho sitaki kitokee. Pazi umeweka kidau kwa nani leo?
 
France wameanza kama mechi iliyopita. Tusubiri tuone watakavyomaliza
 
Kitendo cha kuanzishwa William Carvalho sijakipenda.
Angeanza Danilo.
Ureno anafungwa gem hii japo napenda ashinde
 
I hope CAF waige huu mfumo wa UEFA na sisi vibonde Tanzania tushiriki CAN
 
Back
Top Bottom