PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chezea kupumuliwa kisogoni
Kwani mtu akipumuliwa kisogoni anakuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chezea kupumuliwa kisogoni
wewe endelea kutetea mapunga KWANZA BORA ALIVYOCHOKESHWA MAANA UWANJANI KULIKUWA MCHANGANYIKOWw ushapumuliwa mara ngapi inaonekana una uzoefu
anakuwa kama Cristina mda wote kujiangusha mara kupepesukaKwani mtu akipumuliwa kisogoni anakuwaje?
Payet ni wa kulaumiwa [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Kwa kweli nimeskitka sanaa yaan
Kwa kijana wangu Cr 7 kutoka
Hahahaah kujipa matumaini nako si vibaya.!
Payet kwa kweli pale alidhamiria kabsaaPayet ni wa kulaumiwa [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kweli aisee huoni Ufaransa weusi wengi? Watakuwa wameloga tuHii game ingekuwa ni hapa bongo wangesema Ronaldo kalogwa na timu pinzani. Inakuwaje aumie then kipepeo amtue usoni?
Yangesemwa mengi
Wafaransa kuna wachawi huenda kweli wamefanya mambo haaahHii game ingekuwa ni hapa bongo wangesema Ronaldo kalogwa na timu pinzani. Inakuwaje aumie then kipepeo amtue usoni?
Yangesemwa mengi
Naunga mkono hoja yako.Mkuu kwa kuangalia hii game naona Portugal wanabeba hii ndoo. Na wacheza kamali wataliwa hela leo. We subiri.
Waafrica ni watu wa ajabu sanaPayet kwa kweli pale alidhamiria kabsaa
Hawezi kuja hahahahNamvuta tu huku taratibu... [emoji1]
Hahahaah labdaGame over 1portugal-0France
anakuwa kama Cristina mda wote kujiangusha mara kupepesuka