NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
1. Diara
2.naenda na Djuma shabani, Sina muda wa kupoteza kupanda na kushuka kwake ni advantage kubwa katika kikosi.
3.Kibwana shomari kutokana na umahili wake wa kukaba naona Bora aanze huyu bwana mdogo na lomalisa aanzie benchi.
4&5 Ibrahimu Bacca na Bakari nondo Mamunyeto hawa Nina Imani nao kabisa bila Shaka yoyote kutokana na kiwango kizuri kutoka kwao walichokionesha.
6.Yaniki Bangala Litombo Nampa dimba la Kati kazi yake inafahamika na uzoefu mkubwa katika michuano hii.
8. Kwa kua Khalid Aucho hayupo hapa nampa Salumu Abubakari Sure boy acheze na Bangala alipo sure boy mpira upo huyu ni fundi wa mpira hatoniangusha.
7.Naaza na TK master Tuisla Kisinda huku Benard Morrison akianzia benchi baada ya dakika 45 za mchezo mpaka 60 naingiza Bernad Morrison.
9.fiston kalala mayele hakuna asiyejua uwezo wa huyu mwamba.
10. Aziz kii au Mudathri mmoja wapo anaweza kuanzia benchi.
11. Kennedy Musonda kutokana na spirit aliyonayo ya kupambana hakika naona kabisa anafaa kuanza katika kikosi Cha kesho kitakachoikabili Algeria.
Mwarabu lazima afe nyumbani kwake bila ya kupepesa macho.