Kuelekea fainali Algeria: hiki ndiyo kikosi changu Cha Yanga sc kitakachonipa ubingwa.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
1. Diara

2.naenda na Djuma shabani, Sina muda wa kupoteza kupanda na kushuka kwake ni advantage kubwa katika kikosi.

3.Kibwana shomari kutokana na umahili wake wa kukaba naona Bora aanze huyu bwana mdogo na lomalisa aanzie benchi.

4&5 Ibrahimu Bacca na Bakari nondo Mamunyeto hawa Nina Imani nao kabisa bila Shaka yoyote kutokana na kiwango kizuri kutoka kwao walichokionesha.

6.Yaniki Bangala Litombo Nampa dimba la Kati kazi yake inafahamika na uzoefu mkubwa katika michuano hii.

8. Kwa kua Khalid Aucho hayupo hapa nampa Salumu Abubakari Sure boy acheze na Bangala alipo sure boy mpira upo huyu ni fundi wa mpira hatoniangusha.

7.Naaza na TK master Tuisla Kisinda huku Benard Morrison akianzia benchi baada ya dakika 45 za mchezo mpaka 60 naingiza Bernad Morrison.

9.fiston kalala mayele hakuna asiyejua uwezo wa huyu mwamba.

10. Aziz kii au Mudathri mmoja wapo anaweza kuanzia benchi.

11. Kennedy Musonda kutokana na spirit aliyonayo ya kupambana hakika naona kabisa anafaa kuanza katika kikosi Cha kesho kitakachoikabili Algeria.

Mwarabu lazima afe nyumbani kwake bila ya kupepesa macho.
1685729138831.jpg
 
we nawe jipumzishe basi acha kelele.Hii yanga yetu ndio kwaheri tusijipe moyo isivyo halisi ,ni kujitafutia maumivu ya bure bila msingi wowote..Tuna ubavu gan wa kwenda kushinda kuanzia 2 bila kule ugenini???
Hii siyo Simba wewe [emoji41]
 
hapo bro waarabu watapata sifa bure.

sureboy si sahihi sana kwa game ile, pale weka zawadi ili tupate zawadi ya usalama pale kati.

kibwana fresh, djuma sio sana coz sikuizi anakabia macho. kama si kumtumia job basi djuma ndo anaweza pata nafasi.

mbele kule ni muhimu kuanza na moloko, nadhani unajua vile anavyo jua kuzitumia pasi za bangala Yannick.

sub, Morrison Kwa musonda ni uhakika, ataingia kukazia ushindi coz tayari atakuta team inaongoza goli na aggregate.

Ki kwa zawadi, shifting ya Ki na mudathir 10/8

Mzize ataingia kumpumzisha moloko. hapo ndipo litapatikana goli la 3. TUNZA REPLY HII.
 
1. Diara

2.naenda na Djuma shabani, Sina muda wa kupoteza kupanda na kushuka kwake ni advantage kubwa katika kikosi.

3.Kibwana shomari kutokana na umahili wake wa kukaba naona Bora aanze huyu bwana mdogo na lomalisa aanzie benchi.

4&5 Ibrahimu Bacca na Bakari nondo Mamunyeto hawa Nina Imani nao kabisa bila Shaka yoyote kutokana na kiwango kizuri kutoka kwao walichokionesha.

6.Yaniki Bangala Litombo Nampa dimba la Kati kazi yake inafahamika na uzoefu mkubwa katika michuano hii.

8. Kwa kua Khalid Aucho hayupo hapa nampa Salumu Abubakari Sure boy acheze na Bangala alipo sure boy mpira upo huyu ni fundi wa mpira hatoniangusha.

7.Naaza na TK master Tuisla Kisinda huku Benard Morrison akianzia benchi baada ya dakika 45 za mchezo mpaka 60 naingiza Bernad Morrison.

9.fiston kalala mayele hakuna asiyejua uwezo wa huyu mwamba.

10. Aziz kii au Mudathri mmoja wapo anaweza kuanzia benchi.

11. Kennedy Musonda kutokana na spirit aliyonayo ya kupambana hakika naona kabisa anafaa kuanza katika kikosi Cha kesho kitakachoikabili Algeria.

Mwarabu lazima afe nyumbani kwake bila ya kupepesa macho.View attachment 2643926
Kama ni Mimi hapo ni

Diarra

Djuma Shabani, Bacca, Mwamnyeto, Lomalisa

Bangala

Aziz Ki. Mudathir

Kisinda Mayele Morrison

Formation 4-3-3 attacking
 
hapo bro waarabu watapata sifa bure.

sureboy si sahihi sana kwa game ile, pale weka zawadi ili tupate zawadi ya usalama pale kati.

kibwana fresh, djuma sio sana coz sikuizi anakabia macho. kama si kumtumia job basi djuma ndo anaweza pata nafasi.

mbele kule ni muhimu kuanza na moloko, nadhani unajua vile anavyo jua kuzitumia pasi za bangala Yannick.

sub, Morrison Kwa musonda ni uhakika, ataingia kukazia ushindi coz tayari atakuta team inaongoza goli na aggregate.

Ki kwa zawadi, shifting ya Ki na mudathir 10/8

Mzize ataingia kumpumzisha moloko. hapo ndipo litapatikana goli la 3. TUNZA REPLY HII.
Safi kila la heri kwetu.
 
3-5-2 formation
Diarra
Job
Bacca
Mwamnyeto
Djuma
Zawad
Bangala
Mudathir
Lomalisa
Mayele
Musonda
Sec half aingie Morrison ki moloko mzize
 
Back
Top Bottom