Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

Mechi ya Leo Haina presha kabisha Al Ahly watakuwa wanapoozesha mchezo wakitafuta droo Huku wakivizia kupigana counter attack
Mechi rahisi kabisha hii kwa Simba Mimi ntaicheki Huku nashushia na crips taratibuuuu Huku Chama, kagere na Okwi wakitoa burudani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uuuwiii. Wa kwanza huyu.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nasubiri wengine. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila umejua kunivunja mbavu aiseee.

Umeme umekatika hapa, na simu inaonesha usage time ni 2 hours and 49 minutes.
 
Mtani naona homa ya pambano inakusahaulisha. [emoji3][emoji3][emoji3] Mie nilishawahiwa bana na unalijua hilo.

Ama kweli Waarabu si watu wazuri. [emoji3][emoji3]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Homa ya tumbo yani limevurugika sio mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…