Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

Mechi ya Leo Haina presha kabisha Al Ahly watakuwa wanapoozesha mchezo wakitafuta droo Huku wakivizia kupigana counter attack
Mechi rahisi kabisha hii kwa Simba Mimi ntaicheki Huku nashushia na crips taratibuuuu Huku Chama, kagere na Okwi wakitoa burudani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtani naona homa ya pambano inakusahaulisha. [emoji3][emoji3][emoji3] Mie nilishawahiwa bana na unalijua hilo.

Ama kweli Waarabu si watu wazuri. [emoji3][emoji3]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Homa ya tumbo yani limevurugika sio mchezo
 
Back
Top Bottom