Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

Na mkuu,yametimia kweli. Kwa hakika,Simba kwa Waarab ni vidume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mkuu CHAZA unadhani nilivyokuwa nimeleta huu UZI nilikuwa sijui nini nafanya? Niliamini ndo maana nilieta Flashback 1985 ili kuwakumbusha hawa Mashabiki wa Kizazi kipya...SimbaNguvuMoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi leo duuu,watu wa upande wa pili wamevimba pua kwa hasira. Hii husda itatufikisha wapi jamani. Wengi wameondoka Taifa wakiwa na huzuni kubwa utafikiri wao ni Al Ahly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Nyang'au una bahati sana nilikuwa na harakati uwanjani ndo maana nilikupuuzia kwa huu ujinga wako ulioleta.

Lakini nimegundua bado ni Kinda la Chura katika mambo ya soka, bado hujui chochote.

Kwa taarifa kila ninachokiandika nakuwa na uhakika asilimia 99%

Kwahivyo kuanzia leo anza kusoma historia ya mpira kabla hujaja kupinga huku JF

Na hili la Simba kuifunga Al Ahly 2-1 hata baadhi ya mashabiki wa Yanga wanafahamu au mtafute Mwalimu Alex Kashasha ambaye alikuwepo CCM Kirumba wakati huo, akusaidie ili uondoe huo utandu kichwani kwako

[emoji196]Chura mtoto wewe..!
Simba hawajawahi kukutana na AL AHLY HAPO KABLA... GAME YAO YA KWANZA NI HII WALIYOFUNGWA 5..
USIPENDE UPUUZI WA FB KULETA HAPA PAKA WA MGANGA WW..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajibishana na viruka njia?
Mwaka 1985 katika Uwanja wa CCM Kirumba Simba aliifunga Al Ahly goli 2-1.
Huyu kiruka njia mvimba macho alikuwa hajazaliwa au alikuwa bado yupo bush hajaanza ushabiki wake maandazi.
Magoli ya Simba yalifungwa na Zamoyoni Mogella Golden Boy na Mtemi Ramadhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…