Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

Hahaaaa. Jumamosi sio mbali tuisubiri ifike. Japo hapa nasubiria tu sababu maana huwa haziwaishi hasa pale matokeo yatakapokuja kinyume na matarajio yenu
Jumamosi ni kimbebe itakua, kama tumewachezea Waarabu nusu uwanja jana sasa tegemea jumamosi kucheza ndani ya 18 ni magoli tu
 
Back
Top Bottom