Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Nilizipangua hoja zao, kwani uongo wewe moyoni ni simba scHahaaaa. Weee wana Nguvu moja wana mapovu hivyo imebidi nije nikiwa kadogo kama piriton. [emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilizipangua hoja zao, kwani uongo wewe moyoni ni simba scHahaaaa. Weee wana Nguvu moja wana mapovu hivyo imebidi nije nikiwa kadogo kama piriton. [emoji85]
Mlikuwa Mnafurh Simba akicheza na timu nyengine mkazan hamtakutana naePatachimbiiika.
[emoji23][emoji23][emoji23] haijawahi kutokea Mtani. Mimi ni Yanga mpaka moyoni.Nilizipangua hoja zao, kwani uongo wewe moyoni ni simba sc
Mlikuwa Mnafurh Simba akicheza na timu nyengine mkazan hamtakutana nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly mkuu..Hata wacheza Mieleka na Sumo wangeunda timu yao ambayo isingeshikika..[emoji23][emoji23][emoji23]Kama mpira ni maumbo wasukuma wote wangekuwa wachezaji.
Jumamosi ni kimbebe itakua, kama tumewachezea Waarabu nusu uwanja jana sasa tegemea jumamosi kucheza ndani ya 18 ni magoli tuHahaaaa. Jumamosi sio mbali tuisubiri ifike. Japo hapa nasubiria tu sababu maana huwa haziwaishi hasa pale matokeo yatakapokuja kinyume na matarajio yenu
Mechi ya jana ndo nilikuwa Na presha nayoHahaaaa. Jumamosi sio mbali tuisubiri ifike. Japo hapa nasubiria tu sababu maana huwa haziwaishi hasa pale matokeo yatakapokuja kinyume na matarajio yenu
Ila mkuu hata sisi huwa wachawi kwao.kuchawiana ni kawaida yetu
Una moyo mgumu sana yaani bado unaongea pamoja na aibu ya janaHahaaaa. Jumamosi sio mbali tuisubiri ifike. Japo hapa nasubiria tu sababu maana huwa haziwaishi hasa pale matokeo yatakapokuja kinyume na matarajio yenu
Noooma wangetishaje.Exactly mkuu..Hata wacheza Mieleka na Sumo wangeunda timu yao ambayo isingeshikika..[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeyajua haya wala usinge andika ulichokiandika huko nyuma. Aibu yako.Aibu ya nini sasa wakati siku zote mpira una matokeo matatu. [emoji12]
Ungeyajua haya wala usinge andika ulichokiandika huko nyuma. Aibu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio unateseka, Pole sana.Khaaaaa. Pole kwa kuteseka Mkuu.
Hahahaaaa. Kumbe porojo zoote lengo ni hiki ulichotaka kukiandika sasa. Duuuh.Wewe ndio unateseka, Pole sana.
Subirini trh 16 tuwalaze na viatu ndio vidomo domo vitawaisha vyura nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi utazima data week nzima maana mtakula kipigo cha mbwa koko.Hahahaaaa. Kumbe porojo zoote lengo ni hiki ulichotaka kukiandika sasa. Duuuh.
Jumamosi sio mbali Mtani tusubiri tuone.
Nahisi utazima data week nzima maana mtakula kipigo cha mbwa koko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inshallah tuombe uhai.Haijawahi kutokea mie kupotea kiasi hicho. Nakisubiria hicho kipigo na mie nikione.
Amiin Insha Allah. [emoji120]