Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Wachaaaa.
Eti Udambwi Udambwi. Haya tusubirie. Ila hala hala isije kuwa kinyume chake tu.Subirini Jumamosi tuwape udambwi udambwi wa kimataifa.
Eti Udambwi Udambwi. Haya tusubirie. Ila hala hala isije kuwa kinyume chake tu.
Ila nyie waoga yaani mpira kutolewa nje tu tayari mkajua mmelogwa. LolMechi ya Jumamosi sisi ndiyo tunaanza mpira, hakuna kutoa nje kama kipindi kile.
Halafu jana nimesikia mmepigwa fine kwa kupita mlango usio rasmi, Mtani punguzeni ndumba.
Ila nyie waoga yaani mpira kutolewa nje tu tayari mkajua mmelogwa. Lol
Hahaaa. Imani tu hizo Mtani.
Haya bana Mtani nikusihi tu jumamosi simu yako isikate Mtandao na pia isiishe chaji.Ule uchawi, Kakolanya kapangua magoli ya wazi kabisa, kama siyo ndumba ile game mngepigwa asubuhi tu.
Haya bana Mtani nikusihi tu jumamosi simu yako isikate Mtandao na pia isiishe chaji.
Mzee vipi imekubali. This is simba. Hebu tabiri matokeo ya jmos na yangaHata mkienda nao kucheza Jangwa la Kalahari kipigo kipo pale pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadada warembo wote wanapenda simba. Nakushangaa wewNa Simba angekuwa keshapewa Ubingwa wa Klabu Bingwa Afrika na yupo anasubiri kucheza klabu bingwa ya Dunia. Teh teh.
Umerudi kivingine lakini, mbona wewe sio mpole hiviHahahaaaa. Nimekuja jamaani.
Hongereni bana
Nilitoa ahadi yangu yes jamni si unaona nilivyo kukingia kifuaHahahaaaa. Halafu ulisema utanikingia kifua eti.
Umeshanipa vidonge vyangu halafu eti ndio unanitetea. [emoji23][emoji23]
Simba atapigwa hapo kwa mchina na atanyanyaswa sana.
Maana 5imba haiko sawa kisaikolojia had sasa.
[emoji375][emoji375]
Kimsingi ndo tushalipata una swali?Wanaweza pata la mganga wao
Umerudi kivingine lakini, mbona wewe sio mpole hivi
Kama mpira ni maumbo wasukuma wote wangekuwa wachezaji.
Nilitoa ahadi yangu yes jamni si unaona nilivyo kukingia kifua