Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

Eti Udambwi Udambwi. Haya tusubirie. Ila hala hala isije kuwa kinyume chake tu.

Mechi ya Jumamosi sisi ndiyo tunaanza mpira, hakuna kutoa nje kama kipindi kile.

Halafu jana nimesikia mmepigwa fine kwa kupita mlango usio rasmi, Mtani punguzeni ndumba.
 
Ila nyie waoga yaani mpira kutolewa nje tu tayari mkajua mmelogwa. Lol

Hahaaa. Imani tu hizo Mtani.
 
Back
Top Bottom