Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ewaaaaa. Kwani Sh. Ngapi? Tuhame tu.Sasa nahamia Algeria na Congo 😀😀😀
Hongereni kwa kubahatisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewaaaaa. Kwani Sh. Ngapi? Tuhame tu.Sasa nahamia Algeria na Congo 😀😀😀
Hongereni kwa kubahatisha
Nimekubali Mtani. 👏👏👏👏Ni kweli kwa sasa tunaongea lugha moja kwamba kwa mchina Simba hashikishi...SimbaNguvuMoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ulifanikiwa kuichaji simu yako eee?
Yaani. Maana leo woote simu zisingekuwa na Network.Umeme ulikuja saa 11 na dakika 20 hivi, mara paap, Kagere akafanya yake.
Mtani Mungu kaona atuepushe na balaa la kisemwa na ninyi.
Yaani. Maana leo woote simu zisingekuwa na Network.
Nimekubali Mtani. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nasikia hamna habari kuwa jmosi kuna derby la Kariakoo[emoji23][emoji23][emoji23] nini kinaendelea huku Mtani?
Unakuja kwa kuchelewaMajukumu tu. Mtoto ushawahi niona lini nikakimbia?
Hapana. Sijauona.Hahaha, angalau tuna la kuongea tukiwa tunasubiri kuonesha uzoefu tulioupata kwa kucheza kimataifa hapo Jumamosi.
Umeona msimamo wa kundi letu?
🙏🙏🙏Mkuu Shadeeya ninachokupenda huwa unakubali matokeo..Nilivyoleta huu uzi kisha nikaweka Kumbukumbu kilichojiri enzi hizo kuna ambao hawakuamini...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisaaaa. Wala hujakosea.
Nikishafika home yaani simu naweka pembeni kwanza ili mambo mengine yaendelee.
😂😂😂 niache. 💃💃💃💃💃
Hapana. Sijauona.
Ukoje kwani?
Wachaaaa.Tafuta uone, Simba ni wa pili, kapishana point 1 tu na mtu anayeongoza kundi.
Bila shaka ulikuwa umelal[emoji23][emoji23][emoji23] nini kinaendelea huku Mtani?
Yaah. Nililala bana.
Zam yako j/mosYaah. Nililala bana.
Ila Hongereni sana. [emoji122][emoji122][emoji122]
Patachimbiiika.