Hivyo wataka kusema mtafurahi mpaka mwisho? Sidhani hii kitu
Mumeo ni mshabiki wa timu gani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa. Usijali nafanya hivyo. Usije yakataa tu.
Hahaaa. Mi ntakubali mkishapata matokeo kwenye mechi tatu za mwanzo na kutosha kibindoni ila nje ya hapo naiona safari ya kurudi kupasha viporo ileeeee.Hilo hakuna Mtani, mlituombea toka mwazo kushindwa lakini sasa taratibu mnaanza kukubali namna moto wa Simba unavyokimbiza rubaa za Kimataifa
This Is Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Ndio Wahindi wale. 🙈🙈🙈Kwenye mpira yote yawezekana..Walisema Nkana na Js Saoura (Waarabu) ndo mwisho, lakini baada ya matokeo walibatizwa Js Saoura kuwa Wahindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ye Nguvu moja bana. 😀😀😀Mumeo ni mshabiki wa timu gani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu.. Alama Tisa zitapatikana kwenye dimba la Mchina, hakuna kidume atakayeleta zake pale, na huko nje kuna MTU atajikwaa tu. TumujipangaHahaaa. Mi ntakubali mkishapata matokeo kwenye mechi tatu za mwanzo na kutosha kibindoni ila nje ya hapo naiona safari ya kurudi kupasha viporo ileeeee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ye Nguvu moja bana. [emoji3][emoji3][emoji3]
Lunyasi [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] Amekaa sehemu sahihi au unaonaje MtaniYe Nguvu moja bana. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaa. Hivyo tambo zote hizo hamna uhakika na game za nje ikiwemo ya kesho? Maana wa kujikwaa labda yule Mwarabu Koko.Mkuu.. Alama Tisa zitapatikana kwenye dimba la Mchina, hakuna kidume atakayeleta zake pale, na huko nje kuna MTU atajikwaa tu. Tumujipanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah. Imekaa poa kama mi ninavyojiona nimekaa sehemu sahihi. 🤣🤣Lunyasi [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] Amekaa sehemu sahihi au unaonaje Mtani
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣Mnawashindwa Mashujaa mtawaweza Wakongo wazee wa Vumbi!!!
Comment bora ya kuanzia mwaka,na haipaswi kufutwa hii. Sharti ni moja; Ni marufuku mhusika kukana kauli yake.Mkuu.. Alama Tisa zitapatikana kwenye dimba la Mchina, hakuna kidume atakayeleta zake pale, na huko nje kuna MTU atajikwaa tu. Tumujipanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnawashindwa Mashujaa mtawaweza Wakongo wazee wa Vumbi!!!
Hivi mbona unabadili badili avatar hivi mpaka nakusahauKabumbu kesho pale kwa wazee wa Ngwasuma congo simba sports club anaenda kuchukua point 3
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] TuwacheeeeWatani zangu huu moto muendelee nao mpaka jumapili sio kesho jioni tu hatuwaoni humu.