Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Si bora hata kushinda stand unaweza kula kulå, nyie mmeshinda njaa misitu ya Beni kwa waasi uko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si bora hata kushinda stand unaweza kula kulå, nyie mmeshinda njaa misitu ya Beni kwa waasi uko
😅😅😅😅 NIMEONA HATA MIE
Si bora hata kushinda stand unaweza kula kulå, nyie mmeshinda njaa misitu ya Beni kwa waasi uko
Mkuu, injinia anasemaje?Kuelekea hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika, baada ya kuwakwaruza vilivyo JS Saoura ya Algeria, kwa mikwaruzo mitatu bila majibu, DOZI Kimataifa kuendelea.
..Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa
Mabingwa wa Nchi ya Tanzania, Simba SC, Kesho Jumamosi Januari 19' 2019 watakuwa ugenini Kinshasa DRC kukipiga na AS Vita Club katika mechi ya kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika, mchezo ambao unatarajiwa kuwa ni mkali na wakusisimua katika dakika zote 90 za mchezo.
Mkuu wa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, De la boss amesema timu imejipanga na wanakwenda kuhahikisha wanapata matokeo mazuri kwa ajili ya Nchi na maslahi ya Simba SC.
..Mfumba Jicho MK 14 Meddie Kagere
Akiwa amecheka na vyavu mara 5 Ligi ya Mabingwa Afrika, na kuwa kinara kwa ufungaji, Meddie Kagere MK 14, Mfumba Jicho ataongoza safu ya ushambuliaji ya Simba SC kuhakikisha mabeki wa AS Vita Club wanakuwa na Tandabelua kwa muda wote wa mchezo.
..Nahodha wa Simba SC John Bocco!
Simba itamkosa nahodha wake John Rafael Bocco kutokana na kusumbuliwa na majeraha aliyoyapata katika mchezo dhidi ya JS Saoura
Kumbuka mchezo huu utashuhudia LIVE na ZBC 2 kuanzia saa moja kamili usiku..!
Kutoka Kiembesamaki, Zanzibar kwa niaba ya JFSimba..ni Ghazwat nakuambia Usikose Ukaambiwa.View attachment 997865View attachment 997866
Kikosi cha Simba kikifanya mazoezi ya mwisho Jana jioni, tayari kuwakabili AS Vita Club katika uwanja wa Stade des Martyrs DRC
View attachment 997867
Sent using Jamii Forums mobile app
As vita anà point 3 na magoli 5 tena wapo nafasi ya pili na wana magolì 2 ya kufungwa. Nyie underdog mna point 3 na magoli 3 pia mna maģoli 5 ya kufungwa kwahyo goli difference 2. Mechi ijayo mnaenda kūnyonyolewa tena ugenini (Misri)kwani as vita wanna point ngapi.na sisi tuna point ngapi?
hyo ni Hatua ya makundi.
USICHANGANYIKIWE
Sent using Jamii Forums mobile app
As vita anà point 3 na magoli 5 tena wapo nafasi ya pili na wana magolì 2 ya kufungwa. Nyie underdog mna point 3 na magoli 3 pia mna maģoli 5 ya kufungwa kwahyo goli difference 2. Mechi ijayo mnaenda kūnyonyolewa tena ugenini (Misri)
Mbona Congo tulikuwa na uhakika mapema tu. Nyie ni anda dogi
Hahaaa. Nitoke nini sasa. 💃💃💃💃
Ujue na mie nashangaaa. Ila niliwaambia juzi.
Amakweli jana ndio nimeamini uchawi kwenye soka upo! Yaani Simba utafikiri walifungwa magunia ya mchanga mgongoni au miguuni! Walikua wazito utafikiri hawana mazoezi mwaka mzima. Wakongomani vigagula sana, watakuwa waliroga kupita kiasi, hasa kiungo wetu Chama ndio walimtupia mauchawi yao ya kuuua mtu kabisa, shwaini zaoHahaaa. Nitoke nini sasa. 💃💃💃💃
Ila Pole eee.
Naona atakuwa "busy" kidogo. Au bado hajaamka.
Jana as vita walikuwa wamepiga ile kitu vumbi la congo, half time washamaliza pact moja ya condomAmakweli jana ndio nimeamini uchawi kwenye soka upo! Yaani Simba utafikiri walifungwa magunia ya mchanga mgongoni au miguuni! Walikua wazito utafikiri hawana mazoezi mwaka mzima. Wakongomani vigagula sana, watakuwa waliroga kupita kiasi, hasa kiungo wetu Chama ndio walimtupia mauchawi yao ya kuuua mtu kabisa, shwaini zao
Matokeo ni kwamba tuna ķikosi kipana
Pole sana. Ndio mpira huo na nyie warogeni wakija kwa Mchina.Amakweli jana ndio nimeamini uchawi kwenye soka upo! Yaani Simba utafikiri walifungwa magunia ya mchanga mgongoni au miguuni! Walikua wazito utafikiri hawana mazoezi mwaka mzima. Wakongomani vigagula sana, watakuwa waliroga kupita kiasi, hasa kiungo wetu Chama ndio walimtupia mauchawi yao ya kuuua mtu kabisa, shwaini zao
Asiamke mpaka saa hii. Kaamka labda ndio yuko busy. 😜😜Naona atakuwa "busy" kidogo. Au bado hajaamka.
Shadeeya naona machungu ya kupapaswa na Stand United kama yaliopoozwa vile na matokea ya Kinshasa eeh? Maana ukizingatia na rangi ya jezi za wale jamaa na sura za wachezaji wake wengine kama kina Makambo basi weye hapo kiroho kwatu, wala huna machungu ya kuchafua rekodi yako kwenye ligi