Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, AS Vita Club dhidi ya Simba SC, Injinia Ngapi?

Shadeeya naona machungu ya kupapaswa na Stand United kama yaliopoozwa vile na matokea ya Kinshasa eeh? Maana ukizingatia na rangi ya jezi za wale jamaa na sura za wachezaji wake wengine kama kina Makambo basi weye hapo kiroho kwatu, wala huna machungu ya kuchafua rekodi yako kwenye ligi
Machungu yatoke wapi sasa. 😅😅😅
 
Pole sana. Ndio mpira huo na nyie warogeni wakija kwa Mchina.
Sasa ile pasi aliyoipoteza Chama na kuzaa goli la kwanza wewe unaona makosa kama yale anaweza kuyafanya mchezaji wa kaliba ya Chota Chama? Ila siku yangu imeharibika kabisa, goli tano nyingi sana

Nakuhakikisha wakija kwa Mchina watakaa japo hata kamoja tu
 
Shadeeya naona machungu ya kupapaswa na Stand United kama yaliopoozwa vile na matokea ya Kinshasa eeh? Maana ukizingatia na rangi ya jezi za wale jamaa na sura za wachezaji wake wengine kama kina Makambo basi weye hapo kiroho kwatu, wala huna machungu ya kuchafua rekodi yako kwenye ligi
Usisahau kocha msaidizi no Raul shungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom