Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Wameyeyuka kama barafu ha ha haaaaaaaWatani zangu huu moto muendelee nao mpaka jumapili sio kesho jioni tu hatuwaoni humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameyeyuka kama barafu ha ha haaaaaaaWatani zangu huu moto muendelee nao mpaka jumapili sio kesho jioni tu hatuwaoni humu.
Machungu yatoke wapi sasa. 😅😅😅Shadeeya naona machungu ya kupapaswa na Stand United kama yaliopoozwa vile na matokea ya Kinshasa eeh? Maana ukizingatia na rangi ya jezi za wale jamaa na sura za wachezaji wake wengine kama kina Makambo basi weye hapo kiroho kwatu, wala huna machungu ya kuchafua rekodi yako kwenye ligi
Sasa ile pasi aliyoipoteza Chama na kuzaa goli la kwanza wewe unaona makosa kama yale anaweza kuyafanya mchezaji wa kaliba ya Chota Chama? Ila siku yangu imeharibika kabisa, goli tano nyingi sanaPole sana. Ndio mpira huo na nyie warogeni wakija kwa Mchina.
Hahaaaa. Hatuwezi waona tena.
Safari moja huanzisha nyingine, mshaanza kuachia hivyo mjueMachungu yatoke wapi sasa. 😅😅😅
Sasa ile pasi aliyoipoteza Chama na kuzaa goli la kwanza wewe unaona makosa kama yale anaweza kuyafanya mchezaji wa kaliba ya Chota Chama? Ila siku yangu imeharibika kabisa, goli tano nyingi sana
Nakuhakikisha wakija kwa Mchina watakaa japo hata kamoja tu
😀😀Safari moja huanzisha nyingine, mshaanza kuachia hivyo mjue
Pole na wewe stand sio watu wazuriHahaaa. Nitoke nini sasa. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Ila Pole eee.
Nataka tupinge kabisaa kama tulivopinga kwenye mechi ya Nkana na ile ya Waarabu ili siku ya siku usije ukaniruka tu😎😎😎Tusubiri tuone
Bora Stand aisee. Taaano. Duuuh
Sina la kusema mkuu. Nimefungwa narekebisha makosa ili kuendelea na michezo mingine..!Mkuu, injinia anasemaje?
Usisahau kocha msaidizi no Raul shunguShadeeya naona machungu ya kupapaswa na Stand United kama yaliopoozwa vile na matokea ya Kinshasa eeh? Maana ukizingatia na rangi ya jezi za wale jamaa na sura za wachezaji wake wengine kama kina Makambo basi weye hapo kiroho kwatu, wala huna machungu ya kuchafua rekodi yako kwenye ligi
As Vita wamewalipia zile tulizowapigaBora Stand aisee. Taaano. Duuuh
😀😀😀
Nimemjibu na salamu nimepokea..Leo ni siku yenu ya kufurahi..Nimefungwa najipanga upya..!
😀😀😀 hii yote ni katika kujipoza machungu. Yaani mnakumbusha hadi mambo ya mwaka 47.
Nafurahi Umzima. Pole.Nimemjibu na salamu nimepokea..Leo ni siku yenu ya kufurahi..Nimefungwa najipanga upya..!
Sent using Jamii Forums mobile app