OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Amebaki Sibonike kesho atapata aibu
Eti Kasoma School of Journalism. Labda ile ya Ilala. Ilikuwa chaka la failures.
Na pale ndipo waliposomea Mamis wengi Vilaza miaka ile ya 90's na 2000 mwanzoniEti Kasoma School of Journalism. Labda ile ya Ilala. Ilikuwa chaka la failures.
Tutakuwa tunawakilisha Africa mashariki na katiTusubiri kesho sio mbali
Halafu tayari wameishatoa kafara kule Mwanza. Mwenyekiti wa matawi ya Simba kaondoka.
Lazima tuchomekee Mkuu. Hakuna namna nyingineMkuu..Punguza kidogo mila patofu, unataka watu wasife? Kila mmoja ana wakati wake wa kuishi aisee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa Chuo cha zero brains wote.Na pale ndipo waliposomea Mamis wengi Vilaza miaka ile ya 90's na 2000 mwanzoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha.. Kwa muktadha huo umeaamini kuwa Simba wanashinda Kesho.Lazima tuchomekee Mkuu. Hakuna namna nyingine
Kafara imeenda bure hiyo au inapunguza maumivu tu.Ha ha ha.. Kwa muktadha huo umeaamini kuwa Simba wanashinda Kesho.
Kwa kuwa mvua, ama mtu kufa ikitokea lazima Simba ashinde au siyo..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa Chuo cha zero brains wote.
Vilaza watapata tabu san mkuuHawataamini kitakachotokea kwa waarabu na washirika wao wa hapa nchini
Simba, habari nyingine Kimataifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Typing error hata mimi nafanya Kiongozi. Not on daily basis and not on serious issues. Yaani Press Release ya Club kila wakati iwe na utumbo?Yaani mkuu hata wewe umeaminishwa kuwa typing error kwa Manara ni shule?
Haya maajabu kwa kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia Chief. Ushindi lazima. ππππSawa kabisa,lazima sisi Wapenzi wa JS Saoura tutoke na ushindi kesho
Sent using Jamii Forums mobile app