Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya JS Saoura, Injinia Soma hiyoooo!!

Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya JS Saoura, Injinia Soma hiyoooo!!

Haya ndo madhara ya kuchelewa kuja mjini.

Unaparamia basi la Ubungo kumbe unakwenda Chanika

Vyura wametepeta kama mate ya mlevi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sasa sifa jamanini..This Is Simba SC
IMG_20190112_192221_145.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom