Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Aaah. Waapi. Hivyo ndio maana ukawapa jina la kike eee?Sijachapia mtani nimekusudia kuandika hivyo karibu chama kubwa Simba sc kwa mkopo wa siku moja tu ya kesho
Nilijaribu nikashindwa Mtani. Bakieni tu na timu yenu
Yote kwa yote kesho Manara lazima apost kwa kingereza Insta sababu ya ubaya wa matokeo kama alivyofanya ile mechi ya kwanza na Nkana.