Kuelekea hatua ya robo fainali Club bingwa Africa

Kuelekea hatua ya robo fainali Club bingwa Africa

Kanuni za CAF ili uweze kutinga Robo final unahitaji point 9tu. Hii iliwekwa kima hesabu maana hesabu haidanganyi. Ndio maana msimu uliopita tulikungutwa mechi za ugenini na sisi tukaja tuka Fanya vizuri kwenye Mechi zetu 3 za Nyumbani tulizitumia vizuri. Tukapata point 9 na kwenda Robo final.

Kwa sasa simba inahitaji point 3tu kuweza kwenda Robo final habari ndiyo hiyo. Na point 3 zenyewe tutazipata kwa Almereki.
 
Hao watatu bado wanachance ya kupita hatua hii, naona kama As vita ndo ataongoza kundi.
 
Hili kundi mpaka sasa hivi kila timu inanafasi mpaka huyo mnaemsema kibonde ambaye kashatimua makocha kisa simba

Anajipanga vzr next mechi na kumfunga huyu jamaa siyo mchezo watu walitegea kuwa simba angemfunga magori mengi na huku darosa amijinadi anawajua ndani nje na simba walitegemea watawafunga tu hawa jamaa.

Tukubali pia simba kapona pona kwa bahati jamaa wangekuwa na washambulij wenye vurugu kati wangetingisha milingoti.

Bahati ya mechi 2 za awali siyo ajigambe kazi hap ipo kweli kweli
As vita nawaona wanapeta kundi hili
 
Kanuni za CAF ili uweze kutinga Robo final unahitaji point 9tu. Hii iliwekwa kima hesabu maana hesabu haidanganyi. Ndio maana msimu uliopita tulikungutwa mechi za ugenini na sisi tukaja tuka Fanya vizuri kwenye Mechi zetu 3 za Nyumbani tulizitumia vizuri. Tukapata point 9 na kwenda Robo final.

Kwa sasa simba inahitaji point 3tu kuweza kwenda Robo final habari ndiyo hiyo. Na point 3 zenyewe tutazipata kwa Almereki.
Robo fainali ni timu 2 tu kila kundi

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Ni wazi hujui mpira bali umekariri tu

Simba tukimfunga Merreikh hapa Dar tutafikisha points 10 na bado tunaweza tusifuzu

Angalia hesabu hizi ujifunze mpira ulivyo:

Mechi ya Vita vs Ahly pale Congo DRC ikiisha kwa draw basi wote watakuwa na 5 points
Na endapo hawa wawili wakishinda mechi zao zote mbili zitakazokuwa zimebaki basi watafikisha points 11 na watafuzu quarter final

Hvyo Simba anaweza akajikuta kafikisha 10 points na asifuzu

Kwa mahesabu hayo hili kundi bado ni gumu, kwa maana kama As Vita kaforce draw huko Cairo basi anaweza pía akapata matokeo mazuri hapa Dar

Ndio maana tunasisitiza Simba tufanye juu chini gemu zote dhidi ya Merreikh na Vita za hapa kwa Mkapa tushinde,,, do or die inahusika pakubwa sana
 
Kanuni za CAF ili uweze kutinga Robo final unahitaji point 9tu. Hii iliwekwa kima hesabu maana hesabu haidanganyi. Ndio maana msimu uliopita tulikungutwa mechi za ugenini na sisi tukaja tuka Fanya vizuri kwenye Mechi zetu 3 za Nyumbani tulizitumia vizuri. Tukapata point 9 na kwenda Robo final.

Kwa sasa simba inahitaji point 3tu kuweza kwenda Robo final habari ndiyo hiyo. Na point 3 zenyewe tutazipata kwa Almereki.
Mkuu ulichoandika nimesoma mstari mmoja tu nikaacha. Kwamba kanuni za CAF ukifikisha point 9 unaqualify? Kwamba kila timu ikishinda mechi za nyumbani na kupoteza ugenini, zote nne zinaqualify?
 
Simba anachohitaji ni kuishinda El Mereikh na kisha kutoa sare na Vita, mchezo utakuwa umeisha. Hesabu ziko hivi: Simba atafikisha point 11, na Vita atafikisha point 11 (hapo tunaasume Vita atawafunga Al Ahly, El Mereikh na sare ya Simba niliyoisema). Simba ikilingana point na Vita atabebwa na kanuni ya Head To Head inayotumika katika mashindano haya, ambapo inaweka wazi kuwa baada ya kulingana points kinachofuata ni kuangalia nani alipata points nyingi kwa mwenzake timu hizo mbili zilipokutana mara mbili

1615108725640.png
 
Hili kundi mpaka sasa hivi kila timu inanafasi mpaka huyo mnaemsema kibonde ambaye kashatimua makocha kisa simba...
Hivi hao washambuliaji wenye vurugu mnaowasemaga ni wa timu gani? Maana kila simba ikicheza mnasema ingekutana na washambuliaji wenye nguvu ingefungwa [emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kosa lilianza kwa kutafuta draw jana

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app

Halafu sijaelewa mnaposema KOSA NI KUTOA SARE Na WAsudani.

Mwaka juzi Simba alifungwa mechi zote za ugenini tena Khamsa Khamsa isipokuwa ile ya Waalgeria alikula 3. pamoja na matokeo hayo Simba alienda Robo Fainali.

Mwaka huu mpaka sasa Simba ana clean sheet, huku akiwa ameshinda ugenini.

At the same token, As Vita na Ahly wote wameshapoteza michezo kadhaa huku Vita akipoteza kwao na Ahly aki draw kwao ; yet hizi timu mbili zinapewa nafasi ya Robo Fainali halafu eti Simba inapewa uwezekano. Wa kutokwenda Robo Fainali, I don’t understand you guys mnatumiaje thinking yenu.

Simba ana asilimia 65% ya kwenda Robo fainali huku Ahly na As Vita wakigawana hizo 35%. Analysis Hii ni based na records za Simba Kwenye Home Ground.

Why you don’t see the opportunity kuwa Simba ana home match 2, na uwezekako wa kushinda ni zaidi ya 85% kwa match zote za home.

I don’t understand you guys, mnafikiri kwa kutumia nini.

Kuhusu Ahly na Vita jana, the lucky angel alikuwa kwenye side ya Vita. 7 clean goals walishindwa kumalizia.

Ball possession ni 68% , 15 shoot on targets. Hakuna mpira waliocheza jana Vita , na hakuna aliyeelewa what happened jana kwa Ahly. We are doubting kuwa it was assimilation policy ya kumkataa Kocha au what ....?
 
Kuna watu wanasema endapo Simba itapata alama tatu dhidi ya El marrekh, Simba itakuwa imefikiaha point kumi na kuwa imefuzu hatua ya robo fainali. Sijaelewa hesabu gani zimetumika kuifanya Simba ifuzu kwasababu mpaka sasa Al Ahly na As Vita wote wana point 4.

Mechi inayofuata As Vita wapo nyumbani dhidi ya Al Ahly na endapo As Vita wakishinda watakuwa wamefikisha point 7 huku Simba ikiwa na point 10.

Mechi inayofuata ni Al Ahly dhidi ya Simba. Hapa Simba wakiwa ugenini, hii mechi Simba wanatakiwa watafute alama moja ili kufuzu kwasababu Al Ahly ikishinda, wanakuwa na alama 7 na mechi ya mwisho wanamaliza dhidi ya kibonde Al Merreikh hivyo wakisha watakuwa na alama 10. Wakati Simba inacheza na Al Ahly, As Vita wao watakuwa nyumbani dhidi ya Al Merreikh hivyo akishinda atakuwa na point 10

Endapo Simba watashindwa kupata alama tatu ama moja Misri, na huku As Vita wakishinda dhidi ya Al Ahly na Al Merreikh, ina maana mechi ya mwisho inachezwa Simba dhidi ya As Vita kwa Mkapa huku As Vita akiwa na point 10, Simba ana point 10 na Al Ahly ana point 7 na kuifanya kundi liwe gumu kwasababu Al Ahly atacheza dhidi ya Al Merreikh hivyo akishinda atakuwa na point 10 pia. Hivyo itaifanya mechi ya mwisho iwe muhimu sana kwa Simba kutoruhusu kufungwa dhidi ya As Vita
Hujui football ww. Kila sehem umetengeneza matokeo kwa utashi na mapenzi yako binafsi. SUBIRI FOOTBALL ICHEZWE
 
Wewe mwenyewe umekosea hesabu zako na hatutaki hayo mambo ya atakua wewe nani utabiri? Angalia msimamo wa ligi hayo mengine hatutaki kuyajua sahivi muda wake ukifika tutajua
 
Maombi ni Vita Vs Al Ahly watoke droo ya pili kule Congo.
Alafu Simba ampige mtu hata mechi moja tu.
 
Back
Top Bottom