Kuelekea hatua ya robo fainali Club bingwa Africa

Kuelekea hatua ya robo fainali Club bingwa Africa

Ikipewa ushindi wa bure inakuaj na alama 10 mkuu🤔 si tulikubaliana wote tuisome namba vizuri
Akipewa ushind wa bure anakua na alama 9 sawa na kushinda mechi zote 3 za hatua ya kwanza ya makundi.

Na kama akipewa huo ushindi atahitaji point 3 zaid au droo 2 ili kufuzu kama kinara wa kundi huku akiiombea al ahly na vita wadroo mechi yao inayofuata.

Kwa ufupi Simba anatakiwa ahakikishe hizi game zake 2 za home anatakiwa ashinde zote au ashinde moja alafu moja adroo kwa sababu ile game yake ya mwisho na al ahly itakua kiama.
 
Back
Top Bottom