Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kimataifa. wamecheza za jumla ya mechi 4Takwimu hazidanganyi kwa sasa Simba wapo vizuri sana.
Mechi walizocheza hadi hivi sasa 5
Wamefunga magoli 11
Wameruhusu magoli 2
Kimataifa. wamecheza za jumla ya mechi 4
Wanefunga magoli 8
Wameruhusu goli 1
Wametinga hatua ya makundi caf champions league.
Vinara ligi kuu Tz bara.
View attachment 2392612

Na mechi ikiisha msije na visingizio vya refa kumbeba Yanga.SIMBA atamfuturu mtu vitatu siku hiyo
Kimataifa. wamecheza za jumla ya mechi 4Takwimu hazidanganyi kwa sasa Simba wapo vizuri sana.
Mechi walizocheza hadi hivi sasa 5
Wamefunga magoli 11
Wameruhusu magoli 2
Kimataifa. wamecheza za jumla ya mechi 4
Wanefunga magoli 8
Wameruhusu goli 1
Wametinga hatua ya makundi caf champions league.
Vinara ligi kuu Tz bara.
View attachment 2392612
Sawa tutakutana hapa hapaNa mechi ikiisha msije na visingizio vya refa kumbeba Yanga.
Hata sisi huku kilingeni hatuko nyuma kwenye hiloHiii Mechi ya tarehe 23 Yanga anakufa mapema sana. Mgunda amepanga kulipa kisasi cha ile Fainali ya Azam Confederation.
Wachezaji wamepanga kulipa kisasi cha yale makosa ya Qattara akimpa ujiho mtikisa manyonyo...
Viva simba viva club Africain [emoji91][emoji91][emoji91]
unachekesha, kwanza angalia hiyo simba kamwacha yanga kwa points ngapi kwenye msimamo,arafu utajua ulichoandika.Takwimu hazidanganyi kwa sasa Simba wapo vizuri sana.
Mechi walizocheza hadi hivi sasa...
kwenye izo goli 10 za Uto ni goli mbili tu ndio kazipata kwenye timu ngumu.zilizobaki kazipa hapahapa kwa Zolan wabeba mizigo wa sokoni South Sudan.Uto kimataifa
Wamecheza mechi 4
Wamefunga goli 10
Wameruhusu 2
Uto ndo hatari zaidi