Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwa nikiona utabiri wako nafurahi sana😀SIMBA atamfuturu mtu vitatu siku hiyo
Utopolo si wanaongoza kwa kuruka ukuta taifa watafungwaje wakati mganga yupo kwenye payroll kila mweziSimba ana miaka mingi hajamfunga Yanga kwenye ligi kuu, kinachokuja kuboa zaidi ni katika nyakati zote.
Nyakati zote kwa maana ya kuwa, kile kipindi ambacho Yanga ilikuwa mbovu inatembeza bakuli bado tulishindwa kupata matokeo kwa Yanga.
Na hiki kipindi ambacho Yanga imewekeza ndio imekuwa mtihani kabisa ushindi tunaopata imekuwa ni sare.
Nilichokuja kubaini, nimegundua Yanga ana mbinu nyingi za kumfunga Simba na ndio maana hata katika nyakati alizokuwa mbovu bado alituadhibu.
Lakini
Misimu miwili Yanga kacheza mechi za kimataifa 9
Yanga Vs Zesco 1-2
Yanga Vs Rivers United 0-1
Rivers United Vs Yanga 2-0
Yanga Vs Somalia 1-1
Yanga Vs Vipers 0-2
Zalan Vs Yanga 0-4
Yanga Vs Zalan 5-0
Yanga Vs Al Hilal 1-1
Al Hilal Vs Yanga 1-0
Katika hizo mechi 9 Yanga ikatoa sare mechi 2, kashinda mechi 2 afu kafungwa 5
Hiyo ina maanisha Big match kwa perception ya uongozi wa Yanga ni Derby
Lakini round hii wanaenda kushangazwa na kile wanachokuja kukutana nacho
Kwanini?Uwa nikiona utabiri wako nafurahi sana[emoji3]
Mawindoni kuelekea J'pili ijayo
Mashabiki kama wewe ndio mnazimiaga uwanjani, kwenye derby usiende na matokeo yako mfukoni utaaibikaTakwimu hazidanganyi, kwa sasa Simba wapo vizuri sana. Mechi 5 walizocheza hadi hivi sasa;
~ Wamefunga magoli 11
~ Wameruhusu magoli 2
Kimataifa wamecheza za jumla ya mechi 4;
~ Wanefunga magoli 8
~ Wameruhusu goli 1
Wametinga hatua ya makundi CAF Champions League, vinara Ligi Kuu Tanzania bara.
View attachment 2392612
Yote kwa yote jibu sahihi litapatikana baada ya dakika tisini za mtifuano hapo J'piliKumbukumbu zinaonesha eti kwa mara ya mwisho simba kuifunga Yanga ilikuwa ni mwaka 2019!
Tangu wakati huo mpaka sasa, simba akitia mguu, basi ni kichapo! Au washangilie sare.
Sawa ngoja tusubili, unatype uku unajishtukia unachokiandika, aujiamini unajikanyaga kanyaga tuSimba ana miaka mingi hajamfunga Yanga kwenye ligi kuu, kinachokuja kuboa zaidi ni katika nyakati zote.
Nyakati zote kwa maana ya kuwa, kile kipindi ambacho Yanga ilikuwa mbovu inatembeza bakuli bado tulishindwa kupata matokeo kwa Yanga.
Na hiki kipindi ambacho Yanga imewekeza ndio imekuwa mtihani kabisa ushindi tunaopata imekuwa ni sare.
Nilichokuja kubaini, nimegundua Yanga ana mbinu nyingi za kumfunga Simba na ndio maana hata katika nyakati alizokuwa mbovu bado alituadhibu.
Lakini
Misimu miwili Yanga kacheza mechi za kimataifa 9
Yanga Vs Zesco 1-2
Yanga Vs Rivers United 0-1
Rivers United Vs Yanga 2-0
Yanga Vs Somalia 1-1
Yanga Vs Vipers 0-2
Zalan Vs Yanga 0-4
Yanga Vs Zalan 5-0
Yanga Vs Al Hilal 1-1
Al Hilal Vs Yanga 1-0
Katika hizo mechi 9 Yanga ikatoa sare mechi 2, kashinda mechi 2 afu kafungwa 5
Hiyo ina maanisha Big match kwa perception ya uongozi wa Yanga ni Derby
Lakini round hii wanaenda kushangazwa na kile wanachokuja kukutana nacho
Hakuna jambo kma hilo. SIMBA KAMWE HAIWEZI MFUNGA YANGASIMBA atamfuturu mtu vitatu siku hiyo
Simba ana miaka mingi hajamfunga Yanga kwenye ligi kuu, kinachokuja kuboa zaidi ni katika nyakati zote.
Nyakati zote kwa maana ya kuwa, kile kipindi ambacho Yanga ilikuwa mbovu inatembeza bakuli bado tulishindwa kupata matokeo kwa Yanga.
Na hiki kipindi ambacho Yanga imewekeza ndio imekuwa mtihani kabisa ushindi tunaopata imekuwa ni sare.
Nilichokuja kubaini, nimegundua Yanga ana mbinu nyingi za kumfunga Simba na ndio maana hata katika nyakati alizokuwa mbovu bado alituadhibu.
Lakini
Misimu miwili Yanga kacheza mechi za kimataifa 9
Yanga Vs Zesco 1-2
Yanga Vs Rivers United 0-1
Rivers United Vs Yanga 2-0
Yanga Vs Somalia 1-1
Yanga Vs Vipers 0-2
Zalan Vs Yanga 0-4
Yanga Vs Zalan 5-0
Yanga Vs Al Hilal 1-1
Al Hilal Vs Yanga 1-0
Katika hizo mechi 9 Yanga ikatoa sare mechi 2, kashinda mechi 2 afu kafungwa 5
Hiyo ina maanisha Big match kwa perception ya uongozi wa Yanga ni Derby
Lakini round hii wanaenda kushangazwa na kile wanachokuja kukutana nacho
Tukuite nani?Yanga 3 : 1 Simba
Kazi kwenu akina mgunda... Mkifanikiwa kupunguza hata goli moja... Niko paleeee
Kigoma Ngao ya jamii ilikua 2019?Kumbukumbu zinaonesha eti kwa mara ya mwisho simba kuifunga Yanga ilikuwa ni mwaka 2019!
Tangu wakati huo mpaka sasa, simba akitia mguu, basi ni kichapo! Au washangilie sare.
Maswali ya nini sasa! Mimi nimesema historia inaonesha hivyo! Kama unaona kuna utofauti, ni suala tu la kuja na marekebisho.Kigoma Ngao ya jamii ilikua 2019?
Huyo ndiye yule yule Ashura CheupeTukuite nani?
tatizo unawasilisha kwa hisia zako za mlengo wa uteam maada zako zote ni trash zimeegemea upande flaniTakwimu hazidanganyi, kwa sasa Simba wapo vizuri sana. Mechi 5 walizocheza hadi hivi sasa;