Kuelekea Kariakoo Derby: Simba SC ndiyo timu yenye kiwango bora hadi hivi sasa

Berlin well :–
Inaundwa na

Sadio kanoute
Mzamiru yasin
Joash onyango
Enonga baka
 
Utopolo si wanaongoza kwa kuruka ukuta taifa watafungwaje wakati mganga yupo kwenye payroll kila mwezi
 
Kumbukumbu zinaonesha eti kwa mara ya mwisho simba kuifunga Yanga ilikuwa ni mwaka 2019!

Tangu wakati huo mpaka sasa, simba akitia mguu, basi ni kichapo! Au washangilie sare.
 
Mashabiki kama wewe ndio mnazimiaga uwanjani, kwenye derby usiende na matokeo yako mfukoni utaaibika
 
Kumbukumbu zinaonesha eti kwa mara ya mwisho simba kuifunga Yanga ilikuwa ni mwaka 2019!

Tangu wakati huo mpaka sasa, simba akitia mguu, basi ni kichapo! Au washangilie sare.
Yote kwa yote jibu sahihi litapatikana baada ya dakika tisini za mtifuano hapo J'pili
 
Sawa ngoja tusubili, unatype uku unajishtukia unachokiandika, aujiamini unajikanyaga kanyaga tu
 

By the way wew ndio mwanasimba naekukubal

Kula tano man!
 
Yanga 3 : 1 Simba
Kazi kwenu akina mgunda... Mkifanikiwa kupunguza hata goli moja... Niko paleeee
 
Kwa Yanga BIG MATCH ni kucheza na kushinda mechi dhidi ya Simba.

Leo wako bize na Bi Ashura kujitayarisha kushangilia.

Sijawahi kusikitika kufungwa na Yanga maana enzi zile wanatundikwa 6-0 nilishuhudia marehemu Mzee wangu akishangilia balaa. Leo miaka zaidi ya 40 Yanga wameshindwa kurudisha yale magoli.

Chanzo cha Yanga kuifunga Simba mara nyingi ni juhudi zao za kutaka kuvunja ile Historia ya Kubugizwa 6-0, wakati Simba Presha hiyo hakuna.
 
Kumbukumbu zinaonesha eti kwa mara ya mwisho simba kuifunga Yanga ilikuwa ni mwaka 2019!

Tangu wakati huo mpaka sasa, simba akitia mguu, basi ni kichapo! Au washangilie sare.
Kigoma Ngao ya jamii ilikua 2019?
 
Kigoma Ngao ya jamii ilikua 2019?
Maswali ya nini sasa! Mimi nimesema historia inaonesha hivyo! Kama unaona kuna utofauti, ni suala tu la kuja na marekebisho.

Mimi sijataja hata hiyo mechi ya mwisho. Na nisihukumiwe. Nimesikia tu sehemu. Hivyo nakaribisha masahihisho.
 
Kuanzia mwaka 2017 hadi sasa kwenye match za ligi kuu, Simba amemfunga Yanga mara 2 na Yanga amemfunga Simba mara 2.

Sare ndo nyingi
 

Attachments

  • Screenshot_20221020-172239.png
    94.1 KB · Views: 3
Injiniaa soma hyooo,kumbe watu wamekariri haya ndo matokeo ya derby za ligi kuu kwa misimu hyooo kwahyo acheni mbambaa hamna mnachowaogopesha Simba
 
tatizo unawasilisha kwa hisia zako za mlengo wa uteam maada zako zote ni trash zimeegemea upande flani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…