Inafahamika kuwa katiba mpya ndiyo ulio mwisho wa CCM kuwa madarakani.
Kwenye katiba mpya CCM ni wepesi kama KANU Kenya au UNIP Zambia. Hawatakaa waikubali hali hiyo.
Ni hivyo hivyo kwa ZANU PF Zimbabwe, RPF Rwanda au NRM Uganda. Bila usawa na haki hawana madaraka.
Kwa sababu hiyo safari ya kupigania katiba mpya inabidi kuwa ni sawa na vita kama ilivyo kwa Russia na Ukraine. Hapa overt na covert operations haziwezi kuepukika.
Harakati zote haziwezi kuwa mezani kwa kila mtu (wakiwamo ma CCM) kuzijua.
Lissu na au Mbowe wapewe nafasi ya ku engage na Zitto behind the scene wataleta mrejesho. Kwanini kama inaweza kuchukua mwaka mmoja kuipata katiba mpya kirahisi, tusubiri miwili au hata zaidi?
Habari hii kwa ma CCM ni mbaya mno. Hii kwao ni kama ukoma. Wanajua Mukandara na kamati yake wakibakia wenyewe, katiba mpya itakuwa imepatikana sasa.
Wanapopambana chini kwa chini kutugawa tunaweza pia kupambana nao chini kwa chini kuwashinda.
Leo NATO anapigana chini kwa chini Ukraine bila kutamka wazi kuwa yupo huko vitani.
Hiyo ndiyo akili ya vita ambayo wasingependa tuifanyie kazi.