Kutawala kwa kujinufaisha wao na wapendwa wao kwa kutumia raslimali za umma.CCM hawajawahi kuwa kwa ajili ya wananchi na nchi yao,wanachokilinda kuliko vyote ni Status quo ya chama chao.Wanachotaka ni kimoja tu - kutawala
CCM is always afraid of changing the National Constitution.Fearing unknown.
Sisi wananchi Wa Tanzania tunataka kuandika Katiba(Agano) mpya ya jinsi bora za kujitawala tupendavyo bila kupangiwa na genge au chama chochote.