Kuelekea Klabu Bingwa Afrika | Simba SC na Al Ahly SC, Mechi ya Kibabe kwa Wababe wa Soka

Status
Not open for further replies.
Lesson 3: Numbers (1-10)
واحد wahed. one.
اثنين ethnein. two.
ثلاثة thalatha. three.
أربعة arba-a. four.
خمسة khamsa. five.
ستة sitta. six.
سبعة sab-a. seven.
ثمانية thamanya. eight.
Tutaanza kuhesabu leo vizuri saa kumi jion, karibu darasani
 
Lesson 3: Numbers (1-10)
واحد wahed. one.
اثنين ethnein. two.
ثلاثة thalatha. three.
أربعة arba-a. four.
خمسة khamsa. five.
ستة sitta. six.
سبعة sab-a. seven.
ثمانية thamanya. eight.
Tutaanza kuhesabu leo vizuri saa kumi jion, karibu darasani
 
Wakuu tumekubaliana LIVE UPDATE tulete kwenye Uzi huu?
 
Senzo ni snitch, ninavyoona huyu jamaa CV yake kubwa imekuzwa kutokana na huu usnitch, nahisi kichwani ni bogus kabsa!! Kwani alishindwa nini kusubiri hadi game iishe? Yeye kaamua kwenda usiku wa manane kuamkia game ya leo!! Aombe tufungwe ila tukishinda ataisoma
Senzo na Pitso wamefanya kazi pamoja Mamelodi, wanajuana, na wote ni wasauzi
 
Ilikuwa ni zaidi ya week mbili ndugu sio masaa machache kabla ya game, this guy ni bogus hana kitu kichwani
we acha hizo mbona ceo wa simba barbara alikutana na kocha wa vita ibenge hotelini, tena siku chache kabla ya mechi
 
Wakiwa safarini kuja bongo
QUR'AN



Simba, wakitegemea uganga kupitia mapaka🤣🤣🤣


Al ahali 5--0 Simba
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…