Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Utoooo kazinMuda wa mwana wa Adam kunywea kikombe cha mauti unakaribia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utoooo kazinMuda wa mwana wa Adam kunywea kikombe cha mauti unakaribia
Hopefully "Mwana wa Adam" imewakilisha Al AhlyMuda wa mwana wa Adam kunywea kikombe cha mauti unakaribia
Hapo ni alhally win draw NO BETKama utakua mnazi wa Uto si utafurahi mtani kafungwa?
So vitafidiana tu.
Ulikuwa na umri gani 1972Toka 1972 ikiitwa Sunderland sijawahi itakia mema Simba ila leo naiombea ishinde
ndioWakuu tumekubaliana LIVE UPDATE tulete kwenye Uzi huu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh!!!Muda wa mwana wa Adam kunywea kikombe cha mauti unakaribia
ZBC 2Game inaonekana channel zipi azamu?
Senzo na Pitso wamefanya kazi pamoja Mamelodi, wanajuana, na wote ni wasauzi
we acha hizo mbona ceo wa simba barbara alikutana na kocha wa vita ibenge hotelini, tena siku chache kabla ya mechi
Punguzeni kelele....Ndo mnachokiwazaga ndoo maana mnaishia kulalamika wanga wakubwa nyie
Hilo tatizo ni kama linatengenezwa ili watu watumie fursa kwa sababu linajirudia hata mechi na Platnum ilikuwa hivyohivyoIla naona kama nje ya kwa Mkapa watu ni wengi hawajaingia....
Mfumo wa ticket bado unasumbua maana mtu anatumia muda mrefu mno