Wewe hapa umechangia nn sasa...Usishangae huu uzi ukakosa wachangiaji.
Maana Kuna wajinga wanaamini marekani ni malaika
Kutoka nchi ya viwandaWadundane tuwapelekee misaada ya nguo na chakula.
Atcl Qdash 400 ikamwage, vifurushi vya kande take away, michigan.
Trump atatulia muda siyo mrefuWewe hapa umechangia nn sasa...
Marekani ni nchi ambayo marais wake zaidi ya watano wameuawa wakiwa madarakani na Donard Trump anakuwa Rais wa kama wa 7 kutokumaliza vipindi viwili huku ikionekana hakubaliani na ushindi wa Biden, hali hii inaweka tension kubwa kama Bwana Biden ataweza maliza kipindi cha kwanza bila majaribio kadhaa ya kumuua.
Zinduka wewe bongolala! Siyo kwamba wanaacha kwamba wanapenda hapana! Lakini wanaogopa wakijaribu kuzuia huzo bunduki zinakuja nyingi zaidi humo mitaani!Kwangu ni kukomaa kwa demokrasi ya hali ya juu sana.
yaani watu wanaruhusiwa kuandamana hata na siraha bila bughudha yoyote hali mradi hawafanyi fujo.
Kwa nchi za kiafrica na za kikomonist dhubutu hata kupeperusha jani angani ni shida kubwa sana.
Sasa ndio democrasia hiyo?Wewe hapa umechangia nn sasa...
Marekani ni nchi ambayo marais wake zaidi ya watano wameuawa wakiwa madarakani na Donard Trump anakuwa Rais wa kama wa 7 kutokumaliza vipindi viwili huku ikionekana hakubaliani na ushindi wa Biden, hali hii inaweka tension kubwa kama Bwana Biden ataweza maliza kipindi cha kwanza bila majaribio kadhaa ya kumuua.
Ni kama mmasai kumiliki kisu kwa hapa..lakini hawawezi kuthubutu kuleta fujo maana watakula risasi na wawo wanajuaDah!... Marekani kumiliki bunduki ni rahisi ee..?
Ufahamu nimuhimu sana kwa binadamu.Zinduka wewe bongolala! Siyo kwamba wanaacha kwamba wanapenda hapana! Lakini wanaogopa wakijaribu kuzuia huzo bunduki zinakuja nyingi zaidi humo mitaani!
Kama unafikiri ni democrasia jiulize wanajeshi wanafanya nini mitaani kuelekea kuapishwa kwa Biden?
Bado marekani anabaki kuwa juu.. nchi gani, inaruhusu maandamano ya wananchi wenye mitutu ?Usishangae huu uzi ukakosa wachangiaji.
Maana Kuna wajinga wanaamini marekani ni malaika
Kwahiyo wale wanajeshi waliojaa mitaani kule USA wanamlinda nani sasa hivi wakati maandamano bado hayajaanza?Ufahamu nimuhimu sana kwa binadamu.
Kukiwa na maandamano ni wajibu wa walinda usalama kuwa mtaani kutoa ulizi kwa watu including waandamanaji na mali zao. Ndiyo maana sheria kuhusu maadamano inataka kutoa taarifa (Siyo kuomba ruhusa) kwenye vyombo vya usalama masaa 48 kabla ya maadamano.
TZ tumezoea ndivyo sivyo.
Njaaa zitatuuaaaBeggars cannot be choosers, mkitaka wasiwe na sauti juu yenu kataeni na misaada yao basi tujue moja.
Acha kulinganisha Trampoline na vitu vya maana wewe!!Biden atakuwa na kazi ngumu ya kurekebisha mambo ya hovyo yaliyofanywa na utawala wa Trump, sawa na itakavyokuwa kwa yule atakayechukua madaraka mwaka 2025 Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kumtukana babako ujueHii habari ingekuwa imeletwa inahusu nchi za Africa yangemwagwa matusi ya kiswahili na ya kizungu hapa,lakini kwasababu ni U.S akuna tusi hata moja.
watu wanaandamana na siraha, polisi wanasindikiza maandamano bila kuwadhuru hao raia, huu ni mfano bora kabisa wa majeshi kuheshimu uhuru wa mawazo na kuandamana bila kusababisha madhara kwa raia, au unadhani majeshi ya marekani hayana uwezo wa kuwaua hao raia? na kuwabambikia kesi za uhaini? swali la kujiuliza ingekuwa hapa kwetu Afrika nini kingetokea unampinga rais mweusi alie chaguliwa? hiiii utanyonyolewa hata kama huna manyoya.Ingekuwa Tanzania hii basi tungetukanwa Sana na wana harakati na matamko kibao kutoka kwenye balozi na umoja wa ulaya Ila kwasababu ni marekani watu watasifia tu utasikia mtu anasema hii ndio democrasia sasa.
Siyo matus tu NATO wangekuwa washamwaga majeshi yao muda sanaaaaa 😄😄Hii habari ingekuwa imeletwa inahusu nchi za Africa yangemwagwa matusi ya kiswahili na ya kizungu hapa,lakini kwasababu ni U.S akuna tusi hata moja.
Dah!... Marekani kumiliki bunduki ni rahisi ee..?
Hahah... Ni kweli mkuu hata kwenye muvi zao unakuta mtu ana ki Arsenal kidogo nyumbani kwake.Ni biashara kubwa sana inayomilikiwa na vigogo wakubwa sana
Hata iweje hawawezi kuacha hii biashara ni kama sigara vile
Mtandao mkubwa sana na unalipa haswa
Kuna watu wanamiliki mpaka bunduki 100 utafikiri wana vita [emoji23]
Obama alilia sana kwenye hilo lakini alionekana mjingaKumekucha! Watajuta kumilikisha watu bunduki kiulaini.