utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Wakati dirisha la usajili likifungwa saa 5:59 usiku wa leo, klabu kongwe hapa nchini Simba imeshindwa kukata kiu ya wapenzi na mahabiki wake baada ya kushindwa kufanya usajili wa wachezaji wenye majina makubwa kama walivyosema hapo awali.
Kabla ya kufunguliwa dirisha la usajili, baadhi ya viongozi wa Simba wakiongozwa na mtendaji mkuu wa klabu ya Simba barbara, mwenyekiti wa bodi ndugu Tray Again na mwenyekiti wa wanachama ndugu Mangungu wote kwa pamoja waliahidi kushusha vyuma vikali na nchi itasimama kutokana na usajili utakaofanyika.
Paka tunakwenda mitamboni hakuna usajili wowote wa maana uliofanyika huku jina la mchezaji Manzoki ambae ametajwa sana kutaka kusajiliwa na Simba akionekana hawezi tena kutua Simba na ataendelea kubakia kwenye klabu yake huko China.