Kuelekea kufungwa dirisha la usajili leo, Simba S.C mambo magumu

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Wakati dirisha la usajili likifungwa saa 5:59 usiku wa leo, klabu kongwe hapa nchini Simba imeshindwa kukata kiu ya wapenzi na mahabiki wake baada ya kushindwa kufanya usajili wa wachezaji wenye majina makubwa kama walivyosema hapo awali.

Kabla ya kufunguliwa dirisha la usajili, baadhi ya viongozi wa Simba wakiongozwa na mtendaji mkuu wa klabu ya Simba barbara, mwenyekiti wa bodi ndugu Tray Again na mwenyekiti wa wanachama ndugu Mangungu wote kwa pamoja waliahidi kushusha vyuma vikali na nchi itasimama kutokana na usajili utakaofanyika.

Paka tunakwenda mitamboni hakuna usajili wowote wa maana uliofanyika huku jina la mchezaji Manzoki ambae ametajwa sana kutaka kusajiliwa na Simba akionekana hawezi tena kutua Simba na ataendelea kubakia kwenye klabu yake huko China.
 
Wametetemesha nchi kwa kumsajili sawa kubwa na bado watatetemesha nchi kwa kuwasajili Makusu na baleke ambao ni jua la jioni wakipatikana bure🤣🤣
 
Wametetemesha nchi kwa kumsajili sawa kubwa na bado watatetemesha nchi kwa kuwasajili Makusu na baleke ambao ni jua la jioni wakipatikana bure[emoji1787][emoji1787]
Sasa mkuu hizo sajili si ni zile za bora liende tu[emoji848][emoji1][emoji1]
 
Mhindi wa bombay kakunja mkono kagoma kutoa pesa za usajili ikabidi viongozi wachangishane wapate wachezaji angalau wa bei kitonga wasiokuwa na timu au waliofrop kwenye timu zao ili wawapate kwa bei chee kulingana na bajeti, Sawa kubwa ajacheza mwaka mzima, Makusu kama atasajiliwa pia ni free agent hana timu na kiwango chake ni trip shamba trip gereji, Yule baleke Tp mazembe ilimtoa kwa mkopo arabuni amemaliza mkopo karudi wanataka tena kuwapa simba kwa mkopo, kwa akili ya kawaida Tp mazembe wanashiriki kombe la shirikisho angekuwa na msaada wangemjumuisha kwenye kikosi chao lakini wameona kuna boya kajilengesha wanamtwisha hilo garasa chap atajua mbele ya safari🤣🤣
 
Kwenye suala la usajili Simba Hanspope RIP ndio aliondoka na mikoba ya usajili. Hao wengine blah blah na chupli chupli nyingi. Leo hii taarifa zinasema Miquisone karudishwa Al Haly na huko Al Haly Miquisone hana nafasi. Kama viongozi wa Simba wangekuwa makini hata kidogo tu wangeweza kumpata kwa mkopo kwa bei ya punguzo lakini wao bize na Makusu na Baleke halafu wanakwambia wanataka kuleta kombe la Afrika hapa Tanzania. Na huyo Makusu alipokuwa "on fire" aliwatolea nje Simba sasa hivi kiwango kimeshuka ndio anaitaka Simba. Dirisha limefunguliwa mwezi mzima lakini hizi siku mbili tatu eti viongozi ndio wanajifanya wako bize. Kwa mwendo huu Simba ajiandae kuburuzwa na mtani wake na akikaa vibaya hata wazee wa Chamazi watawapiga kumbo.
 
Tusubiri saa tano usiku kaa hapo hapo
 
Tusubiri saa tano usiku kaa hapo hapo
Iyo saa 5 usiku mjiandae kuletewa reject nyingine za wakina beleke na makusu au mshambuliaji mzanzibar kutoka mlandege🤣🤣 kwaiyo msilale kwa usajili huo wa kishindo
 
Fmhm9tTXEAMTO7_.jpg
 
Wakati dirisha la usajili likifungwa saa 5:59 usiku wa leo, klabu kongwe hapa nchini Simba imeshindwa kukata kiu ya wapenzi na mahabiki wake baada ya kushindwa kufanya usajili wa wachezaji wenye majina makubwa kama walivyosema hapo awali.

Kabla ya kufunguliwa dirisha la usajili, baadhi ya viongozi wa Simba wakiongozwa na mtendaji mkuu wa klabu ya Simba barbara, mwenyekiti wa bodi ndugu Tray Again na mwenyekiti wa wanachama ndugu Mangungu wote kwa pamoja waliahidi kushusha vyuma vikali na nchi itasimama kutokana na usajili utakaofanyika.

Paka tunakwenda mitamboni hakuna usajili wowote wa maana uliofanyika huku jina la mchezaji Manzoki ambae ametajwa sana kutaka kusajiliwa na Simba akionekana hawezi tena kutua Simba na ataendelea kubakia kwenye klabu yake huko China.
Kati ya binadamu wana heka heka na maswala ya Simba,wewe nakutunukia nishani ya juu kabisa ya mahangaiko hayo.
 
Na pesa ya kumleta unafikiri walikuwa nayo ilikuwa ni swaga za kuwajaza mashabiki wao na wao wakajaa kama puto
Unajua unaongea,na mshabaki wa nani mkuu?? 😆 😆 😆 😆
Wangeamua hawashindwi sema mkataba wake huko china ndo tatizo
 
Kati ya binadamu wana heka heka na maswala ya Simba,wewe nakutunukia nishani ya juu kabisa ya mahangaiko hayo.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mkuu hata wewe nakutunuku nishani ya juu kabisaa Kwa kutoa muda wako huu kuyasoma mabandiko yangu.. keep it up[emoji106][emoji106]
 
Wakati dirisha la usajili likifungwa saa 5:59 usiku wa leo, klabu kongwe hapa nchini Simba imeshindwa kukata kiu ya wapenzi na mahabiki wake baada ya kushindwa kufanya usajili wa wachezaji wenye majina makubwa
hata Bigirimana, Kambole na Tuisila wana majina makubwa
 
Wakati dirisha la usajili likifungwa saa 5:59 usiku wa leo, klabu kongwe hapa nchini Simba imeshindwa kukata kiu ya wapenzi na mahabiki wake baada ya kushindwa kufanya usajili wa wachezaji wenye majina makubwa kama walivyosema hapo awali.

Kabla ya kufunguliwa dirisha la usajili, baadhi ya viongozi wa Simba wakiongozwa na mtendaji mkuu wa klabu ya Simba barbara, mwenyekiti wa bodi ndugu Tray Again na mwenyekiti wa wanachama ndugu Mangungu wote kwa pamoja waliahidi kushusha vyuma vikali na nchi itasimama kutokana na usajili utakaofanyika.

Paka tunakwenda mitamboni hakuna usajili wowote wa maana uliofanyika huku jina la mchezaji Manzoki ambae ametajwa sana kutaka kusajiliwa na Simba akionekana hawezi tena kutua Simba na ataendelea kubakia kwenye klabu yake huko China.
Kwa akili yako mchezaji mkubwa ni Manzoki tu, acha utoto, kama ni uzoefu was soka basis saido na Ismail ni wazoefu was soka kuliko Kennedy Musonde.
 
Wakati dirisha la usajili likifungwa saa 5:59 usiku wa leo, klabu kongwe hapa nchini Simba imeshindwa kukata kiu ya wapenzi na mahabiki wake baada ya kushindwa kufanya usajili wa wachezaji wenye majina makubwa kama walivyosema hapo awali.

Kabla ya kufunguliwa dirisha la usajili, baadhi ya viongozi wa Simba wakiongozwa na mtendaji mkuu wa klabu ya Simba barbara, mwenyekiti wa bodi ndugu Tray Again na mwenyekiti wa wanachama ndugu Mangungu wote kwa pamoja waliahidi kushusha vyuma vikali na nchi itasimama kutokana na usajili utakaofanyika.

Paka tunakwenda mitamboni hakuna usajili wowote wa maana uliofanyika huku jina la mchezaji Manzoki ambae ametajwa sana kutaka kusajiliwa na Simba akionekana hawezi tena kutua Simba na ataendelea kubakia kwenye klabu yake huko China.
Watu wasio jua Mpira ndio wanaopiga kelele ...Simba Haina matatzo hayo watu wanayoyasema ..na dirisha dogo always huwez kufanya sajili za kuja ku disturb kikosi ..NI kuongeza nguvu kidogo t bila kuspend Sana..
Msimu ukiisha kocha akishafanya tathmini ya kikosi na kutoa report Hapo Sasa mnaweza fanya sajili kubwa hata kubomoa kikosi sababu muda upo mrefu wa kujiandaa..
Kuna vitu vingi Sana kwenye dirisha dogo
 
Back
Top Bottom