Kuelekea Kumaliza Mwaka 2016: Wasanii Watatu Waliotamba Mwaka Huu

Darasa
Man fogo
Alikiba

Hao wengne sindikiza mwaka tu
 
Mwaka wa 2016 ulikuwa wa
1.Ali Kiba -Aje (Wimbo bora wa mwaka)
2.Darassa -Msanii bora wa HipHop
3.Ben Paul -Mwanamuziki bora wa R&B...Moyo mashine ni habari nyingine.
Wengine walikuwa wasindikizaji.
Mahaba niue.! Ningeshangaa kuona memba yeyote wa madale [emoji23] [emoji23]

Wimbo wangu bora toka iumbwe dunia ni Lupela [emoji4]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nilitaka kumuweka Rayvany hapo kwa Ben Paul nikaogopa utakuwa ugomvi [emoji6]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Daaaaahh ungejuta walahi! Maana hiyo ingekuwa ni kusudi sasa.. Ungenieleza vizuri imekuwaje kwani
 
Panga upangavyo ila ukimuacha ManFongo we lichawi
 
Darassa darassa darassa.
Wengine mpaka wapate kiki za mitandaoni.
 
Li Simba mondi mnaogopa hata kulitaja coz Dunia nzima inajua kwamba since my number 1 remix yeye ndo Baba wa wasanii wote Africa .. Samahani lakn ..hv unaongea na mm au unaongea na Simu ?
 
Mbona mnahangaika kutengeneza taarifa ambayo mnaweza mkai extract youtube! Fanya hivi, chukua nyimbo tatu tatu best za wasanii kama kumi hivi. Jumlisha youtube views zao alafu uzigawanye kupata average... Then mwenye hits nyingi ndiye atayeongoza... Hizo taarifa ndio zitakuwa more accurate kwa sababu ni response ya wasikilizaji kuliko hizi za kutoa hisia moyoni ambazo zinakuwa subjective...
 
Kwani tunatafuta video bora mpaka twende kukesha youtube?!

Mimi nikajua tukeshe kwenye maredio hili tuone top 10 zao zilikuwaje maana huko YouTube kuna kashfa kubwa ambayo haijapatiwa ufumbuzi wa kina kuwa kuna jamaa wananunua viewers
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiba mpaka tunakufa,sijui!
Lakini ni vita kubwa![emoji6]
Sio mbaya lakini maana nimemzidi! Yeye anaishia kutajwa tu mdomoni, mwenzake...! [emoji6] [emoji1]
 
Unataka kutuambia nyimbo hizo zimetoka wakati mmoja???
 
Sio mbaya lakini maana nimemzidi! Yeye anaishia kutajwa tu mdomoni, mwenzake...! [emoji6] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiii
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji119]
 
Yaani ni lazima utakuwa wa Arusha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…