Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahaba niue.! Ningeshangaa kuona memba yeyote wa madale [emoji23] [emoji23]Mwaka wa 2016 ulikuwa wa
1.Ali Kiba -Aje (Wimbo bora wa mwaka)
2.Darassa -Msanii bora wa HipHop
3.Ben Paul -Mwanamuziki bora wa R&B...Moyo mashine ni habari nyingine.
Wengine walikuwa wasindikizaji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mahaba niue.! Ningeshangaa kuona memba yeyote wa madale [emoji23] [emoji23]
Wimbo wangu bora toka iumbwe dunia ni Lupela [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilitaka kumuweka Rayvany hapo kwa Ben Paul nikaogopa utakuwa ugomvi [emoji6]
Kajifunze kuandika kama mtu mzima kwanza, alafu urudi kuchangia.Mi naxaka pesa tyuuu mpaka nimfikie mondi
Si unaona sasa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaaaahh ungejuta walahi! Maana hiyo ingekuwa ni kusudi sasa.. Ungenieleza vizuri imekuwaje kwani
Hapa nilipo nahangaika kumuondoa kiba tusibanane.. Sasa Rayvany tena nae?? [emoji23] [emoji23]Si unaona sasa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani tunatafuta video bora mpaka twende kukesha youtube?!Mbona mnahangaika kutengeneza taarifa ambayo mnaweza mkai extract youtube! Fanya hivi, chukua nyimbo tatu tatu best za wasanii kama kumi hivi. Jumlisha youtube views zao alafu uzigawanye kupata average... Then mwenye hits nyingi ndiye atayeongoza... Hizo taarifa ndio zitakuwa more accurate kwa sababu ni response ya wasikilizaji kuliko hizi za kutoa hisia moyoni ambazo zinakuwa subjective...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa nilipo nahangaika kumuondoa kiba tusibanane.. Sasa Rayvany tena nae?? [emoji23] [emoji23]
Sio mbaya lakini maana nimemzidi! Yeye anaishia kutajwa tu mdomoni, mwenzake...! [emoji6] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiba mpaka tunakufa,sijui!
Lakini ni vita kubwa![emoji6]
Unataka kutuambia nyimbo hizo zimetoka wakati mmoja???Mbona mnahangaika kutengeneza taarifa ambayo mnaweza mkai extract youtube! Fanya hivi, chukua nyimbo tatu tatu best za wasanii kama kumi hivi. Jumlisha youtube views zao alafu uzigawanye kupata average... Then mwenye hits nyingi ndiye atayeongoza... Hizo taarifa ndio zitakuwa more accurate kwa sababu ni response ya wasikilizaji kuliko hizi za kutoa hisia moyoni ambazo zinakuwa subjective...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiiSio mbaya lakini maana nimemzidi! Yeye anaishia kutajwa tu mdomoni, mwenzake...! [emoji6] [emoji1]
Labda dunia ya Gamboshi.Li Simba mondi mnaogopa hata kulitaja coz Dunia nzima inajua kwamba since my number 1 remix yeye ndo Baba wa wasanii wote Africa .. Samahani lakn ..hv unaongea na mm au unaongea na Simu ?
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji6][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiii
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji119]
Yaani ni lazima utakuwa wa Arusha..Pesa madafu-jmoe
Siwezi-baraka de Prince
Mboga7-kabaysa
Waoane-chege
Too much-darassa
Chafpoz-billnass
Salome-ray&mind
Natafuta kiki-raymond
Hainaga usgemeji-manf
Sweet mangi-nikki
Arosto-g nako
Original-g nako
Lover boy-barnaba
Shika adabu yako-nay
Dume suruali-fa
Ntakupigia-stamina
JumlishA zooote unapata muziki ya DARASSA.