Je, Wakatoliki wanajukumu la kumtangaza mtu mtakatifu kama mungu mwenyewe hajamtangaza? Angalia mfano mtakatifu rita wa kashia, alikufa ametabasamu, akawa ananukia manukato ambayo hayajawahi kuwepo duniani, tetemeko liliikumba nchi yake kaburi la rita likafunguka, Rita akasimama akatabasamu tetemeko likaisha.
Je, huyo alitangazwa na watu au Mungu mwenyewe? Basi tuambie matukio mliyo kutana nayo kuhusu nyerere huenda tutaamini.