Kuelekea kupanga mishahara upya; Mishahara ilingane kwa kada zote

Mfumo wa utumishi tz upo katika makundi matatu ndani ya dola.nayo ni operational tecruitment na apointment .na mifumo hii inaweza kumpa ajira kutokana na kura either kutoka kwa wananchi au mamlaka za ajira baada ya kuona unakidhi vigezo.
KAtika mifumo hiyo mitatu mmoja una nguvu kuliko mwingine na ndo wenye mishahahara na malupulup mengi kutokana na kupewa mamlaka kuliko mingine.mfumo huo ni wa apointment mfano raisi anakuwa apointed na wananchi. Mbunge nk.
Rais ana apoint waziri na wakuu wa mikoa na wilaya.
 
ok.. rudi kwenye mada sasa..
 
Hivyo uwez kulinganisha na mfumo wa recruitment ambao unaangalia maarifa ya mtu kupitia elimu mbali mbali.km ni elimu maalum mfano majeshini au elimu za vyuo vya kiraia.ni vema tukaangalia ulinganifu wa maslah kwa kada za aina moja ndan ya utumishi wa umma itapunguza manunguniko.
Pia tuangalie namna ya kuoanisha mifumo hii mitatu
 
Tooooo much ukraziness...ndoto ambayo haitokuja kutimia
 
Acha kufatilia watu JF utaolewa, ukute we mzee nishawahi kukupiga DIGITAL RECTAL
Hlf anatakiwa ajue kwamba hizi id za jf si za kweli..na una uwezo wa kujibadilisha status any time as long hakuna anayekufahamu..next tym naweza kuja kujifanya mm ni dent kumbe ni mzee basi tu ili nipresent mada yangu
 
Ni East Africa ambapo thamani ya madaktari iko chini nchi za wenzetu km kusini ya Afrika na Amerika madaktari ni hot cake Mishahara minono na marupurupu ya kumwaga ,huwezi tu ukajitokea home eti unataka kumuona daktari lzm appointment na ukija kwa Emergency lzm ujiandae haswa!kinachoharibu huku ni misconducts za watu wa pharmacy kuuza dawa bila vyeti kwa wenzetu hakuna dawa mpaka umetoka Hosp una prescription ya Registered personnel lbd kwa dawa simple km cough syr na dawa za vidonda.Lkn yanakuja haya muda Si mrefu nafikiri heshima itakuja!
 
Mtoa mada fikiria upya mawazo yako mishahara kulingana kila kazi ina risk zake usinambie mtu kakaa masaa sita kuokoa maisha ya mtu theatre then walingane mshahara na muhasibu eti cjui mwalim
 
unaongea usivyovijuwa, kila idara INA changamoto zake na huwezi kusema kuwa idara ya afya ina changamoto nyingi kuliko zilizoko idara ya elimu, hauko siliazi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] inafurahisha huwa mnafanya utafiti wa mnayozungumza???
 
Daaah tumsameh bure tu ndio uwezo wake ulipoishia[emoji57] [emoji57]
 
Hapo ndipo watawala wanapowawezea wafanyakazi wa Tanzania, yameanza kubishana yenyewe kwa yenyewe
 

Usimfanye mwenye taaluma ya udaktari kama Mungu
 
kada zote zinapaswa kupewa upendeleo sawa
Huwezi ukamlinganisha daktari aliesoma msuli heavy wa chuo five years na mi mwenye degree ya miaka mitatu tena niliyoipata kirahisi kama ninanawa.
Ada aliyotumia daktari ni kubwa kuliko mie.
Na msuli wake hajaanza chuo tu ili afike chuo huko chini kaanza vizuri na msuli heavy pia.
Tukija kazini kazi zake ni heavy kulinganisha na mie teacher mwenye vipindi sita kwa wiki na mapumziko ya kutosha.
Daktari saa saba usiku anapigiwa simu akaokoe maisha ya mtu mie nimeuchapa usingizi wa haja, yuko zake na glass ya bia mgonjwa kaletewa mahututi inabidi aiache akimbie.
Hatuwezi kuwa sawa, usitee tu tumbo asee think kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…