- Thread starter
- #181
hakuna wafanyakazi wenye ushiirikiano kama walimu sasa. lakini idara ya afya uchoyoooooo umezidi
mmhh! sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna wafanyakazi wenye ushiirikiano kama walimu sasa. lakini idara ya afya uchoyoooooo umezidi
Ustaadhi wewe unapendekezaje?
kwa taarifa yako kuna watumishi wanaolipwa zaidi ya huyo daktari aliyekaa miaka tisa darasaniKuna vitu vingine vinachekesha kweli dunia mzima haupo huo utaratibu mtu na MMED yake ya neurology anachambua ubongo kama mchele amekaa darasani miaka 9 eti alipwe sawa na mwalimu wa civics form one, NONSENSE.
Ukiona sehemu wanalipa vizuri hamia huko.
una dhan ana takiwa kulipwa zaidi??acheni utoto nyinyi!! eti mwalimu alipwe sawa na daktari
Ndio nimemjibu huyo mtoa mada kuwa haiwezekani mtu anayeunga mifupa ya binadamu eti alipwe sawa na mtu anayekalilisha "videfiniton"
una dhan ana takiwa kulipwa zaidi??
habari wanandugu!
Nianze kwa kusema kuwa niipongeze serikali kwa nia nzuri iliyonayo ya kupitia na kupanga upya viwango vya mishahara kwa wafanyakazi wa kada zote.
kwa muda mwingi tumeshuhudia kutofautiana kwa viwango vya mishahara kutoka fani Moja kwenda fani nyingine, mfano ualimu, afya, sheria, uhandisi n.k ambapo baadhi ya Kada wamekuwa wakilipwa mishahara mikubwa kuliko wengine ingawa ukiangalia majukumu na mazingira yao ya kufanyia kazi hayatofauti sana.
kutofautiana huku kwa mishahara kunapelekea baadhi ya wafanya Wa Kada Fulani kuwadharau wafanyakazi Wa kada nyingine, lakini pia no uharibifu Wa pesa kwani kama MTU yule yule (mwalimu) analipwa 20000 na naweza kuishi basi hata huyu mwingine (daktari) akilipwa 20000 ataweza kuishi na kutimiza mahitaji yake. sula hili siyo zuri
katika kuelekea kupanga mishahara upya serikali ifanye utaratibu Wa kulinganisha mishahara kwa wafanyakazi wote kwa kutegemeana na viwango vyao vya elimu. yaani wenye elimu ngazi ya shahada mshshahara wao ulingane, hali kadhalika ngazi ya diploma na cheti
by mkulima Wa nyanya
Huu ni uzi wa kutambiana. Angalieni msije mkapigana.Napita tu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji126] [emoji125]
Kuna vitu vingine vinachekesha kweli dunia mzima haupo huo utaratibu mtu na MMED yake ya neurology anachambua ubongo kama mchele amekaa darasani miaka 9 eti alipwe sawa na mwalimu wa civics form one, NONSENSE.
Ukiona sehemu wanalipa vizuri hamia huko.
Alaf walimu wengi haswa wa secondary ni washirikina
angalia mwalimu anafanya kazi masaa mangapi kwa wiki linganisha na daktari af urudi utuambie vizuri
mwalimu aliyepata div 3 au 4 akaungaunga na kupata degree alingane na pharmacist au ddaktari aliyepata div 1 six..kisa tu wote eti wana degree! ridiculous!
Haina haja ya kuweka debate kuhusu mshahara wa mwalimu
Ipo wazi kwamba walimu wanalipwa pungufu ukilinganisha na sekta nyingne
Au tunataka had TWAWEZA waje ku confirm
Bila mwalimu atakuwepo kweli huyu?[emoji56]hivi unadhani Huyo anayefikia hatua ya kuunga mifupa, anashuka kutoka mbinguni?
Tatizo la walimu hamujui munachokifanya, munatumikishwa sana njaa tu imewajaa,halafu mtu kupewa rufaa inategemea na utaalaamu na vifaaMbona watu wanakwenda India kutibiwa?na kwa nn hawaendi kufundishwa "civics"?inawezekana madakitari wengi hawana mchango mkubwa kwa jamii,huenda pia wamekaririshwa tu