Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kitambulisho cha mpiga kura kazi yake ni moja tu kama kinavyoitwa au kama jina lake lilivyo bwashee!
 
Kitambulisho cha mpiga kura kazi yake ni moja tu kama kinavyoitwa au kama jina lake lilivyo bwashee!
vipi kuhusu tuhuma zilizojitokeza za kusajili wapiga kura wageni ili kuokoa ccm na kwamba sasa mnawaogopa kwenye umiliki wa line za simu ?
 
Pointi yenye mashiko hapo ni hilo la Vijana kusajili kiholela.

Hayo mengine ni matakwa tu ya teknolojia, na hatuna uchaguzi zaidi ya kuenda nayo sambamba.

Sasa tu usichanganye changamoto zenu za miundo mbinu, kipato duni cha Wananchi wenu kutaka kukwepa mabadiliko..usisahau hizo teknolojia karibu zote hatuna asili nazo, sisi ni watumiaji tu.

Ni ajabu kama unataka bado tuwe na sauti juu ya kitu tusicho na asili nacho.

Mfano mzuri tu ni kama hivi Microsoft walivyotangaza tangu tar 14 ni wisho wa ku support window 7, kwa hiyo kwa ushauri wako au Watu wa kaliba yako unaona Microsoft wanasumbua? ni juu yako Mzee baba ku upgrade Window yako au la, wewe ndio upime hasara na faida sio wao tena.
Umeongea ulinganifu usio na maana kabisa
Hapa tunazungumzia ulazima wa national ID na time line iliyowekwa wewe unaleta issue za software. ...
Umeijiuliza hili zoezi lina uharaka gani ?
 
Pointi yenye mashiko hapo ni hilo la Vijana kusajili kiholela.

Hayo mengine ni matakwa tu ya teknolojia, na hatuna uchaguzi zaidi ya kuenda nayo sambamba.

Sasa tu usichanganye changamoto zenu za miundo mbinu, kipato duni cha Wananchi wenu kutaka kukwepa mabadiliko..usisahau hizo teknolojia karibu zote hatuna asili nazo, sisi ni watumiaji tu.

Ni ajabu kama unataka bado tuwe na sauti juu ya kitu tusicho na asili nacho.

Mfano mzuri tu ni kama hivi Microsoft walivyotangaza tangu tar 14 ni wisho wa ku support window 7, kwa hiyo kwa ushauri wako au Watu wa kaliba yako unaona Microsoft wanasumbua? ni juu yako Mzee baba ku upgrade Window yako au la, wewe ndio upime hasara na faida sio wao tena.

Tekinolojia ndo inasema mtu aweke mkokoteni mbele ya punda?
 
Kweli tunaishi kama manyumbu!

Yaani mtu mmoja (magu na genge lake) anawatesa namna hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kale kazee kalikolala kaburini ndiyo kachawi kakuu ka hii nchi
Kwenda kufanya matambiko na hao wazee washenzi waliokua wakijiita wazee wa Dar es Salaam. Matokeo yake ni haya. Na uchawi wao wa mwenge. Sijawahi kukapenda na sitakapenda. Kwangu mimi hakana ushujaa wowote zaidi nakaona kachawi kamoja.
 
Hapo hapo kwenye Voda,, hawa jamaa wanaringa sana ! Voda wanajiona wao ni tofauti sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilisajili wakanitumia message nimekamilisha usajili niweke salio niendelee kufurahia huduma, sikuweka. Baada ya siku tatu wakarudisha ule ujumbe wao wa kukumbusha kusajili. Nikasema ni kwa sababu sijaweka vocha? Nikajiapiza siendi kusajili tena kama wanafunga wafunge, juzi nashangaa wameondoa ule ujumbe kucheki usajili wanasema niko fully registered nikasema fyuuu zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwenyewe unasema kipindi cha uandikishaji wa daftali la wapiga kura kuna watu ambao sio raia walijiandikisha.Hivi vya vya uraia ni kwa ajiri ya interest za usalama wa nchi yetu. Vile vya kura wengi hawakuvitumia kupiga kura ila walitaka kuvitumia kama vitambulisho vinavyothibitisha kuwa wao ni watz wakati sio.
 
Hata pale mwananchi anaponyanyaswa na serikali yake bila hatia kazi yako ww nikujikomba kwa jiwe ili upate mlo!
Nani kalalamika hapa kwamba ana namba ya NIDA na ameshindwa kusajiri?

Hata hivyo, wakati wewe unasifu na kuabudu watawala walio kosa hekima, ukidhani mnawakomoa wapinzani,
ndg zako huko kijijini wanasota na NIDA na hawajafanikiwa kupata hata namba na ni miongoni mwa watakaofungiwa line zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute mama ake huko kijijini mda huu yupo chooni anaharisha kwa sababu ya kula mi mboga ya polini, nan aliewaloga??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani tatizo moja la viongozi wa nchi ni kutokuelewa mazingira ya nchi wanayoiongoza.

Wanataka kufanya mambo utadhani ni ulaya, lakini katika kufanya huko wanagusaguasa tu, wanalipualipua

Nchi yetu hii imegubikwa na umasikini wa kufa mtu kuna baadhi ya operesheni ukitaka kuziendesha lazima ukonside vitu vingi
Wanajua maisha yako kama Dar na Dodom nchi nzima
 
Back
Top Bottom