Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Huyo Jiwe anajidanganya sana......

Kwa kuwa anaamini Tume ya uchaguzi ni mali yake.............

Anaamini pia vyombo vyote vya dola, vikiwemo Jeshi la Polisi na TISS vyote anavimiliki yeye, kwa hiyo haoni namna gani kura ya mwananchi, kupitia sanduku la kura, namna litakavyogeuza matokeo hayo
Ni vile tu vyombo vyote vya ulinzi na usalama polisi, tiss na miltias zote haziko kwa maslahi na nchi na wananchi wao , hili ni tatizo kwa nchi za afrika la sivyo Magu angekuwa kashachomolewa kitambo.
 
Mimi kale kazee kalikolala kaburini ndiyo kachawi kakuu ka hii nchi
Kwenda kufanya matambiko na hao wazee washenzi waliokua wakijiita wazee wa Dar es Salaam. Matokeo yake ni haya. Na uchawi wao wa mwenge. Sijawahi kukapenda na sitakapenda. Kwangu mimi hakana ushujaa wowote zaidi nakaona kachawi kamoja.
Kwani huu mwenge umeshindikana kupelekwa jumba la makumbusho? basi inawezekana umebeba tambiko la kufa mtu...ngoja tuone
 
Umeongea ulinganifu usio na maana kabisa
Hapa tunazungumzia ulazima wa national ID na time line iliyowekwa wewe unaleta issue za software. ...
Umeijiuliza hili zoezi lina uharaka gani ?
Wewe ndio unajichanganya, huyo Mdau hapo kaongelea suala la kuhama kutoka analojia kwa TV...sasa nawe unaunga mkono kwamba tungebaki kwenye analojia kwa kuhofia kusumbua Watu? sasa hilo lina tofauti gani na ishu ya window 7? wenye teknolojia yao ndio wanataka mabadiliko sio nyie Watumiaji.

Kuhusu usajili nalo pia ni matokeo ya changamoto za kiteknolojia (matumizi mabaya)..ni bahati mbaya kama huoni haja ya kusajili line ili hali kumekuwa na uhalifu unaokuwa kila siku kupitia teknolojia hiyo ya mawasiliano.

Na ndio nimetoa angalizo kwa Mleta uzi kwamba atenganishe uhitaji wa kiteknolojia na changamoto zetu za miundo mbinu au uwezo mdogo kiutendaji.

Kushindwa kutoa Vitambulisho vya taifa kwa wakati ni matatizo either ya kimiundo mbinu au uwezo mdogo kifedha na kiutendaji, au upungufu wa rasilimali watu n.k....sasa sidhani kama hizo changamoto ni za kiteknolojia.
 
Huo ndo ukweli mana inaweza kupelekea rais wangu ,asieleweke na ikambidi atumie nguvusana kuelezea maswala ili aeleweke,badala ya pushapu yambele ,akaona atumie yamgongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi elewa we subiria hiyo tar20 watufungie cheap zetu ndio utaelewa humu jf kwenyewe wengi tutashindwa kuingia achilia mbali maswala ya kupiga simu kijijini tutarudi enzi za kusikiliza taarifa ya habari kwa m/kiti wa kijiji.
December nilikuwa Kampala nikawa nahitaji kupata line ya simu,nikaombwa passport,nikawapa yule mdada akaiscan kwenye hicho kifaa chao cha kusajilia,baada ya kama dakika tano likaja jibu registration imefeli,tatizo nilisahau kugonga entry upande wa border ya Uganda,ikabidi nimuombe taxi driver niliyekuwa naye tutumie kitambulisho chake,akawa yeye ana copy original kaacha nyumbani,wakagoma kutupa line,Uganda regulation inazingatiwa haswa kwenye huu usajili wa simu
 
Hili zoezi ni la kipumbavu haijawahi tokea,wataweka vipi dead line wakati si wananchi wote wana vitambulisho vya Nida?Kupata Kitambulisho chenyewe unaweza hata zimia kwenye foleni.Kwanza sidhani kama kuandikisha line ndo kitu mtanzania anahitaji ili aishi.Mtanzania anahitaji Maji safi na salama,Kazi,huduma bora za jamii kwa ujumla.

Ww si ndio huwa unawasifia hao vilaza?
 
Wewe ndio unajichanganya, huyo Mdau hapo kaongelea suala la kuhama kutoka analojia kwa TV...sasa nawe unaunga mkono kwamba tungebaki kwenye analojia kwa kuhofia kusumbua Watu? sasa hilo lina tofauti gani na ishu ya window 7? wenye teknolojia yao ndio wanataka mabadiliko sio nyie Watumiaji.

Kuhusu usajili nalo pia ni matokeo ya changamoto za kiteknolojia (matumizi mabaya)..ni bahati mbaya kama huoni haja ya kusajili line ili hali kumekuwa na uhalifu unaokuwa kila siku kupitia teknolojia hiyo ya mawasiliano.

Na ndio nimetoa angalizo kwa Mleta uzi kwamba atenganishe uhitaji wa kiteknolojia na changamoto zetu za miundo mbinu au uwezo mdogo kiutendaji.

Kushindwa kutoa Vitambulisho vya taifa kwa wakati ni matatizo either ya kimiundo mbinu au uwezo mdogo kifedha na kiutendaji, au upungufu wa rasilimali watu n.k....sasa sidhani kama hizo changamoto ni za kiteknolojia.

Kama kuna changamoto ya kifedha na kiutendaji deadline ya nini?
 
Wewe mwenyewe unasema kipindi cha uandikishaji wa daftali la wapiga kura kuna watu ambao sio raia walijiandikisha.Hivi vya vya uraia ni kwa ajiri ya interest za usalama wa nchi yetu. Vile vya kura wengi hawakuvitumia kupiga kura ila walitaka kuvitumia kama vitambulisho vinavyothibitisha kuwa wao ni watz wakati sio.
Kwahiyo kumbe ni kweli kwamba kuna wageni walisombwa na kupelekwa kujiandikisha ili kuokoa ccm kwenye uchaguzi ule ?
 
NIDA mwanzoni walikuwa wanatoa vitambulisho kwa alama za vidole vitano. Sijui sasa ikoje. Lakini mambo yanavyoendeshwa kuhusu usajili line wa dolegumba kuna siku watasema tusajili tena kwa madole mawili, halafu matatu na ikifika matano watasema kwa kiganja na unyayo wa mguu wa kulia na nini sijui!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna changamoto ya kifedha na kiutendaji deadline ya nini?
Ila mimi sijatetea suala la muda kutosha ama la, kuwepo kwa deadline ama isiwepo n.k.

Mimi nilimjibu Mleta uzi upande wa uhitaji wa kubadilika na teknolojia.

Nadhani Wenye mamlaka wana jukumu la kuangalia mkwamo wa zoezi upo wapi na wasiwaonee wasio na hatia, kama ni NIDA basi wao ndio wabebeshwe msalaba wao na si Wananchi.
 
Bado sijaelewa kukataliwa kwa kitambulisho hiki muhimu sana kinachotumika kwenye jambo sensitive la Kupata viongozi wa nchi kwenye kusajili line za simu inatokana na nini .

Kulikuwa na uvumi wa kuandikishwa hata wageni kwenye uchaguzi mkuu 2015 ili kusaidia ccm , Je ni kweli kwamba wakati wa uchaguzi Mkuu wa 2015 kuna maelfu ya wageni walisajiliwa ili kupiga kura za kuiokoa ccm , na sasa serikali inawaogopa ? line za simu zina umuhimu gani kushinda uchaguzi wa nchi ?

Naomba mwenye uelewa wa hili anifafanulie
Yupo!
Ni Pasco.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio unajichanganya, huyo Mdau hapo kaongelea suala la kuhama kutoka analojia kwa TV...sasa nawe unaunga mkono kwamba tungebaki kwenye analojia kwa kuhofia kusumbua Watu? sasa hilo lina tofauti gani na ishu ya window 7? wenye teknolojia yao ndio wanataka mabadiliko sio nyie Watumiaji.

Kuhusu usajili nalo pia ni matokeo ya changamoto za kiteknolojia (matumizi mabaya)..ni bahati mbaya kama huoni haja ya kusajili line ili hali kumekuwa na uhalifu unaokuwa kila siku kupitia teknolojia hiyo ya mawasiliano.

Na ndio nimetoa angalizo kwa Mleta uzi kwamba atenganishe uhitaji wa kiteknolojia na changamoto zetu za miundo mbinu au uwezo mdogo kiutendaji.

Kushindwa kutoa Vitambulisho vya taifa kwa wakati ni matatizo either ya kimiundo mbinu au uwezo mdogo kifedha na kiutendaji, au upungufu wa rasilimali watu n.k....sasa sidhani kama hizo changamoto ni za kiteknolojia.
Perfect analysis..thanks....
 
Back
Top Bottom