Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una taarifa kuwa kuna watu walijiandikisha toka Zoezi linaanza kwa Mara ya kwanza kabisa lakini mpaka leo hawajapata namba wala kitambulisbo?Mulikua wapi sikuzote hizo, vitambulisho vilianza kutolewa muda mrefu tu mkazembea now ndio mnaangaika
Wajinga watailaumu selikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa miujiza gani waliyonayo?Nasikia leo Nida watatoa no hapo hapo na wasajili laini WA mtandao yote watakuwepo mbagala Zhakiemu jijini Dar esalam wilaya ya temeke kuanzia saa mbili
Mkuu hivi umeipata pointi yangu?Mabadiliko yanapaswa kwenda na hali na uchumi wa watu.
Kama kuleta dijitali kunamaanisha expensive technology kulinganisha na hali ya uchumi wa watu, then kuintroduce hiyo dijitali ni counterproductive.
Hivi unajua siku hizi bongo kumiliki TV ni kama anasa?
Kuwatishwa NIDA mzigo kwa zoezi la zimamoto ni kuwaoneaBy the way, lengo la kuisajili cad za simu kwa kitambulisho cha NIDA ni nini?
Hivi wewe umejiandikisha alafu afutilii unategemea nini mie natoa mfano hai tulio jiandikisha nyumba kwangu muda uliopangwa nilikwenda wilayani na kukuta namba zetu ziko tayari wewe unafikiri hivyo vitambulisho watu wengi ni wazembe nilitembelea ofisi fulani ya kata huko uzaramoni kwenu.ilikua mwaka jana nikuta vitambulisho kibao watu wajaenda kuchua toka kipindi hicho.hapa tukubali sisi watanzania tumekua wazito ata kwenye mambo ya msingi.uvivu wenu ndio maana mnatuita sisi wa mkoani ni kiboko yenu.Muda mwingine tumia kichwa kilichoko juu ya mabega kufikiri na sio kilichoko chini ya kitovu, watu wamejiandikisha mwaka 2013 hadileo hawajapata, waziri kaenda ruvuma kamkuta afisa wa nida anavitambulidho elfu 14 kavikalia hajavigawa, halafu unaleta janaba hapa
Kwa akili yako unaamini mtu analalamika tu bila kufuatilia? Umesahau mzee kapilimba alifukuza waingiza data wote wapivyodai stahiki zao, unadhani hawakuyatupa mafomu na kufomati database? Ujinga wa mtu mmoja iweje yawe mateso kwa watanzania milioni 20?a
Hivi wewe umejiandikisha alafu afutilii unategemea nini mie natoa mfano hai tulio jiandikisha nyumba kwangu muda uliopangwa nilikwenda wilayani na kukuta namba zetu ziko tayari wewe unafikiri hivyo vitambulisho watu wengi ni wazembe nilitembelea ofisi fulani ya kata huko uzaramoni kwenu.ilikua mwaka jana nikuta vitambulisho kibao watu wajaenda kuchua toka kipindi hicho.hapa tukubali sisi watanzania tumekua wazito ata kwenye mambo ya msingi.uvivu wenu ndio maana mnatuita sisi wa mkoani ni kiboko yenu.
Mimi sio mbinafsi kama wewe, wewe ukiandika jambo mtandaoni ujue linakuhusu.Mulikua wapi sikuzote hizo, vitambulisho vilianza kutolewa muda mrefu tu mkazembea now ndio mnaangaika
Wajinga watailaumu selikali
Sent using Jamii Forums mobile app