Kwa kigezo cha line tu umewahukumu watanzania wote? Kweli na wewe una walakiniwatanzania wengi reasoning capacity ni ndogo laini zina zimwa leo usiku wa tarehe 20.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kigezo cha line tu umewahukumu watanzania wote? Kweli na wewe una walakiniwatanzania wengi reasoning capacity ni ndogo laini zina zimwa leo usiku wa tarehe 20.
Sent using Jamii Forums mobile app
TrueHuo ni woga wako ase! Au labda unaye mpigia kazima sim hapatkan we na mawenge yako moja kwamoja kufungua Uzi, uwaga mnakera sana nyie
Baadae akasikika akisema IKIFIKA TAR 20 JJANUARRI, TCRA ZZIMENI SIMU ZOTTTEE😂😂😂😂😂
mwisho ni saa 6 usiku leo ndugu!!Kama umesajili line yako na bado unasubiri taarifa confirmation au bado hujasajili naona baadhi yetu tumeanza kuonja joto la kuzimiwa mtandao.
Si mimi hata jamaa yangu hapo Dar hapatikani, nimetumia njia mbadala kwa kupitia jamaa wa ofisini kwake ndipo akaniambia yupo ofisini.
Sijaelewa kama ndiyo wamefanya yao au wanatest mitambo, mdau huko ulipo vipi upo hewani?
Bado, mpaka ifikapo usiku wa leo saa 23:59Kwahiyo kuna aliefungiwa laini yake?
Mtanzania Embu soma nilichoandika. Kuna sehemu nimesema muda uongezwe? Binafsi naona Hakuna sababu ya kuwa na deadline, kwani kuna emmergency gani?Watanzania hata mkipewa miaka 10. hamtasajili. Mko hivyo. Kulalamika. Mnaibiwa. Lakini Leo Ona mnakotokea. So stupid. Ningekuwa mchina. Ningesema. Kweli mnaonewa. Ila tunajuana. Wabongo.
Watu waongo kweli Kama mleta mada[emoji23][emoji23]Hiv kweli mnashindwa kuelewa mwisho wa tarehe 20/01/2020/ ni saa 23:59??daaah Jamii forum inaelekea wap kwa wqle ma great thinker
Sent using Jamii Forums mobile app
PoleNi kweli mkuu kuna watu vichwa vyao ni makasha ya kuifadhia upumbavu wao,tulio wengi hasa mkoa wa manyara,hususani wilaya zake watu wengi walisha kamilisha taratibu zote mpaka kupiga picha,tangu mwezi wa nane mwaka Jana havijatoka kitambulisho wala namba mpaka Leo yaani hii serikali dah!?
Nadhani wanazima leo saa sita usiku mkuu ndo itakuwa siku ya mwisho kati ya zile siku 20 alizotoa mheshimiwa Rais.Kama umesajili line yako na bado unasubiri taarifa confirmation au bado hujasajili naona baadhi yetu tumeanza kuonja joto la kuzimiwa mtandao.
Si mimi hata jamaa yangu hapo Dar hapatikani, nimetumia njia mbadala kwa kupitia jamaa wa ofisini kwake ndipo akaniambia yupo ofisini.
Sijaelewa kama ndiyo wamefanya yao au wanatest mitambo, mdau huko ulipo vipi upo hewani?