Chloroquine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 217
- 112
Dah let's wait and see mkuuUtawala huu wa Magufuli ni rahisi sana kutabiri kitu na kikatokea.
Nilitabiri Babu Seya atatoka ile December 9 2017 ikawa, nilitabiri 2019/2020 watumishi wa umma hawataongezewa hata senti ikawa. Leo narudia tena kutabiri utabiri huu mgumu kuwa line za simu zisizosajiliwa kwa namba ya NIDA kesho tarehe 20 kuelekea tar 21 hazitafungwa.
Kama unabisha tuwekeane dau
Nitozwe fine kwa kosa lipi ndugu?Ni hakika wengi hawajaweza kusajili simu zao na sababu ni NIDA kushindwa na pia tabia ya wananchi kusubiri deadlines.
Nashauri laini hizi zisizimwe bali tozo ya shilingi 1000 iwekwe kwa kila siku itakapochelewa kusajiliwa. Pesa hizo ziende moja kwa moja Serikalini. Pia zoezi la usajili liwe endelevu.
Wew jamaa una id nyingine sub zeroMara nyingi huwa wanazima usiku wa kuamkia hiyo cku husika c uliona analogy kwenda digital
Sent using Jamii Forums mobile app
Utazimiwa soon.Mi nipo hewani mkuu
Uliambiwa usajili laini yako kabla ya tarehe 20 January,leo ni tarehe ngapi,nakwanini uwe hewani hadi saa hizi wakati ni tarehe 20,ingekuwa walisema sajili laini yako kabla ya tarehe 21 wewe ambaye hujasajili usingeshangaa kuwepo hewani hadi saa hizi.
Kuna kitu,siyo bure,endapo upo hewani hadi muda huu,wakati hukutakiwa kuwepo.
KABLA na siyo BAADA.
Kwahio hapa mwanangu umejiona bonge la great thinker😂😂Hiv kweli mnashindwa kuelewa mwisho wa tarehe 20/01/2020/ ni saa 23:59??daaah Jamii forum inaelekea wap kwa wqle ma great thinker
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umesajili line yako na bado unasubiri taarifa confirmation au bado hujasajili naona baadhi yetu tumeanza kuonja joto la kuzimiwa mtandao.
Si mimi hata jamaa yangu hapo Dar hapatikani, nimetumia njia mbadala kwa kupitia jamaa wa ofisini kwake ndipo akaniambia yupo ofisini.
Sijaelewa kama ndiyo wamefanya yao au wanatest mitambo, mdau huko ulipo vipi upo hewani?
Albadr itasomwa kwa walioshindwa kulipa madeni ya Mpawa?
Kumbuka Kuna marehemu wengi Sana pia Katika kipindi hichoTabutupu,
Naona mnadanganyana hahahaha mlikuwa wapi siku zote? NIDA kuna shida lakini watanzania tuna shida zaidi,,,,, kuna namba nyingi sana zimeshatoka lakini hadi leo hazijasajiliwa ,,,,,,,,
Usiwe na shaka Ndugu, hawezi kuzifikia zote, hawana uwezo huo, unakumbuka wakati ule waliposema wanafunga simu zote ambazo hazikuwa zimethibitisha IMEI number ?!, wewe endelea na shughuli zako inaweza kuwa ni tatizo la Network.Kama umesajili line yako na bado unasubiri taarifa confirmation au bado hujasajili naona baadhi yetu tumeanza kuonja joto la kuzimiwa mtandao.
Si mimi hata jamaa yangu hapo Dar hapatikani, nimetumia njia mbadala kwa kupitia jamaa wa ofisini kwake ndipo akaniambia yupo ofisini.
Sijaelewa kama ndiyo wamefanya yao au wanatest mitambo, mdau huko ulipo vipi upo hewani?
Ilibidi zizimwe usiku wa kuamkia leoHiv kweli mnashindwa kuelewa mwisho wa tarehe 20/01/2020/ ni saa 23:59??daaah Jamii forum inaelekea wap kwa wqle ma great thinker
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangazo linasema KABLA ya tarehe 20 na siyo BAADA ya hiyo tarehe.
Unaelewa maana ya KABLA ya tarehe 20?Leo ni 20 au?Kwani tarehe 21 imefika?
Si walisema mwisho ni tarehe 20/1/2020, ina maana leo bado hawajasitisha/funga mawasiliano. Ikifika saa 5.dk 59.sek 59 usiku leo, basi watafunaga kama ni kweli watafanya hivyo.
Kama kwako wamekata, basi wewe uko mbele kwa siku nzima.
Maboya flani tu hivi nishayachukia