Humu si tulishavamiwa na wazee wa vijiwe kahawa...na chai za hamsinihamsini..Hiv kweli mnashindwa kuelewa mwisho wa tarehe 20/01/2020/ ni saa 23:59??daaah Jamii forum inaelekea wap kwa wqle ma great thinker
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila aliyeko kijijin ana ndugu yake mjiniWasalaam.
Ili kuondoa msongamano katika baadhi ya vituo vya nida. Ikaanzishwa huduma ya kucheki au kufuatilia namba za nida kwa njia ya mtandao.
Sasa kwa ambao bado hazijatoka Watapat vipi feedback kama tutafungiwa Line zetu.
Au ndio wananchi watatoka tena maili 100 kuja mjini kucheki namba kama imetoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwepo wapi mwaka mzima?Naomba mamlaka husika mlitazame hili kwa jicho la ziada picha linaanza raia wako tayari kusajili line zao kwa ambao tayari wamefanikiwa kupata namba za NIDA wakienda kwa watoa huduma Hakuna netwerk kutwa nzima mifumo ya kimtandao ni mibovu sijawahi ona hakuna netwerk hzo line tunasajil vipi? leo mnasema ndio mwisho kuanzia asbh mpk ss netwerk inasumbua. Tumieni akili msikurupuke kutaka kuwafurahisha wenye mamlaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangazo linasema KABLA ya tarehe 20 na siyo BAADA ya hiyo tarehe.
Usajili wa njia ya alama ya kidole ndio hitimisho la usajili wa laini yako na wanasajili jina jipya la kitambulisho... kwa hiyo haina shida...Sasa mkuu niulize wewe hauna kitambulisho jina lako ni Vic Man na ndugu yako kitambulisho anacho anaitwa Van Vic watakubali sasa kusajiri line hio kwa jina la Van Vic?