Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi


Hivi TCRA wanazima leo Saa 6 Kamili Usiku kama ambavyo wamekuwa wakisema na hata Kusisitiza mara kwa mara katika Matangazo yao au wanazima muda wa Saa 1 na dakika 14 Asubuhi ya leo ambako ndiko umekurupuka na kuja na hili Bandiko lako? Madhara ya Kulala na Pombe na Kuamka nazo ndiyo haya sasa!
 
Mtoto wa kike acha umbea na unafki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusifia kitu ambacho ukitulia vyema ukatafakari ....
Toka 2017 unapigania NIN....Kuna haja ya kuchunguzwa mifumo yetu ya fahamu.
 
Huo ni woga wako ase! Au labda unaye mpigia kazima sim hapatkan we na mawenge yako moja kwamoja kufungua Uzi, uwaga mnakera sana nyie
Great Thinkers mnakwama wapi, mmeshindwa kuelewa nilichoandika au ndiyo tuseme jf elimu ya kuelewa inatupa shida?
Pale mwisho nimeandika hiyo πŸ‘‡


Sijaelewa kama ndiyo wamefanya yao au wanatest mitambo, mdau huko ulipo vipi upo hewani?
Sasa Badala ya kufafanua mnatupa madongo na kauli tata πŸ˜‚ sijaelewa wadau, maana mimi sipo hewani huku.
 
Nilikuwa sina mpango wa kusajili line yangu ya simu ingawa sina sababu ya msingi kabisa NIDA ninayo ile ya mwanzo kabisa ya yule aliyeshitakiwa basi tuu sikuwa nataka usumbufu ila nadhani sasa naweza sajili
kwa sasa nida ni kila kitu, TIN, passport, Brela nk
 
weka salio uongee acha longolongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…