Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hao wakora walitoa siku 20 mwisho ni leo, Au tuwarudishe shuleni mkajifunze kuhesabu !!Unaelewa maana ya KABLA ya tarehe 20?Leo ni 20 au?
mkuu usipanik sanaBabako, alipopandikiza manii yake kwa huyo unayemwita mamako, tayari nilikuwa nimeshamfumua malinda so sishangai kuja na lugha hiyo π.
Unabadilishaje jna
Wewe subiri taarifa rasmi leo usikuSwala hili lina ukweli kiasi gani ndugu???
So mpaka SAA sits za usiku Leo?Kama umesajili line yako na bado unasubiri taarifa confirmation au bado hujasajili naona baadhi yetu tumeanza kuonja joto la kuzimiwa mtandao.
Si mimi hata jamaa yangu hapo Dar hapatikani, nimetumia njia mbadala kwa kupitia jamaa wa ofisini kwake ndipo akaniambia yupo ofisini.
Sijaelewa kama ndiyo wamefanya yao au wanatest mitambo, mdau huko ulipo vipi upo hewani?
NIDA sio part ya serikali au unaongelea serikali ipi? Au ujui ndani ya NIDA kuna usalama wa taifa, wizara ya mambo ya ndani etc?Kama NIDA wanatambua wengine sio Raia,Serikali ilipaswa kuliangalia hilo mapema kwa kutoa muda wa kutosha ili kila Mwananchi mwenye sifa awe amepata namba au kitambulisho cha NIDA tayari kwa usajili wa Line za Simu! Sio hizi kukurupapara zinazoelekea kuharibu maana nzima usajili wa Line za Simu.
Zoezi lilianza tokea 2013 enzi za jk chini ya mkurugenzi wa NIDA bwana Maimu, pigs hesabu miaka mingapi hadi ssa? Utasema serikali imekurupuka? Are you serious?Kama NIDA wanatambua wengine sio Raia,Serikali ilipaswa kuliangalia hilo mapema kwa kutoa muda wa kutosha ili kila Mwananchi mwenye sifa awe amepata namba au kitambulisho cha NIDA tayari kwa usajili wa Line za Simu! Sio hizi kukurupapara zinazoelekea kuharibu maana nzima usajili wa Line za Simu.
Ofisa Habari nimemsikia redioni leo. Kasema mwisho wa usajili ni leo siku itakapoisha. At close of business today kama hujajaza japo fomu ya kuomba namba na kuiwasilisha NIDA uwe na uhakika tu kuwa utafungiwa.Kwani tarehe 21 imefika?
Si walisema mwisho ni tarehe 20/1/2020, ina maana leo bado hawajasitisha/funga mawasiliano. Ikifika saa 5.dk 59.sek 59 usiku leo, basi watafunaga kama ni kweli watafanya hivyo.
Kama kwako wamekata, basi wewe uko mbele kwa siku nzima.
Naona kuna nyuzi zimeunganishwa. Majibu unayopata ni ya uzi uliokuwa unasema TCRA wameanza kufanya mabo yao (Something like that)Great Thinkers mnakwama wapi, mmeshindwa kuelewa nilichoandika au ndiyo tuseme jf elimu ya kuelewa inatupa shida?
Pale mwisho nimeandika hiyo π
Sasa Badala ya kufafanua mnatupa madongo na kauli tata π sijaelewa wadau, maana mimi sipo hewani huku.
Waache wapambane na hali zaoMimi nina daiwa shilingi 4900 kwenye nipige tafu..
kiukweli hii nilikuwa nataka nilipe ila nahofia laini yangu kufungwa kwasababu sijasajili kutumia alama za vidole..
Najua kuna wengine wanadaiwa songesha, Wengine M-pawa.. Wengine wamekopa airtel, halotel au tigo
Je laini zao zikifungiwa, nani atawalipa mitandao ya simu fidia?
Zoezi la NIDA kusajili lilikuwa ni Mkoa baada ya kumaliza Mkoa! Naomba unikumbushe ni lini NIDA walianza kuwasajili Wananchi wa Mkoa wa Kigoma!Zoezi lilianza tokea 2013 enzi za jk chini ya mkurugenzi wa NIDA bwana Maimu, pigs hesabu miaka mingapi hadi ssa? Utasema serikali imekurupuka? Are you serious?
Hao Tiss na Wizara ya mambo ya ndani wako chini ya nani kama sio Serikali?!NIDA sio part ya serikali au unaongelea serikali ipi? Au ujui ndani ya NIDA kuna usalama wa taifa, wizara ya mambo ya ndani etc?
MKUU HUKU TUNAPOZWA NA NDIDHI MAINDI KWENYE FOLENI YA NIDA π ππNaibu Waziri wa wizara ya mawasiliano na uchukuzi amenukuliwa mjini Kigoma akisema kuwa watu watakao zimiwa laini za simu ni wale ambao hawajajaza fomu za NIDA kabisa lakini Kwa wale walio jaza fomu za NIDA serikali itatumia hekima katika kudili na suala Lao.
Siwezi ku argue na mtu ambaye uelewa wake una mashaka ila elewa leo TCRA inazimaHao Tiss na Wizara ya mambo ya ndani wako chini ya nani kama sio Serikali?!
Mzee unataka tuwajaze ndugu Sebuleni sioKila aliyeko kijijin ana ndugu yake mjini
Cheza na fursa mzee...Coordination ya hii mifumo imefanywa kiholela sana hivi kuingiza data na kutoa designation number inachukua muda gani?
Swala kubwa hapa ni watu kutengeneza matatizo kwenye mfumo ili uendelee kuwanufaisha....
Naona huduma za simu za TTCL zikirudi pamoja na wale wenzangu wa kupigisha mitaani.(Fursa hii wadau)