Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kama umesajili line yako na bado unasubiri taarifa confirmation au bado hujasajili naona baadhi yetu tumeanza kuonja joto la kuzimiwa mtandao.

Si mimi hata jamaa yangu hapo Dar hapatikani, nimetumia njia mbadala kwa kupitia jamaa wa ofisini kwake ndipo akaniambia yupo ofisini.

Sijaelewa kama ndiyo wamefanya yao au wanatest mitambo, mdau huko ulipo vipi upo hewani?
So mpaka SAA sits za usiku Leo?
 
Kama NIDA wanatambua wengine sio Raia,Serikali ilipaswa kuliangalia hilo mapema kwa kutoa muda wa kutosha ili kila Mwananchi mwenye sifa awe amepata namba au kitambulisho cha NIDA tayari kwa usajili wa Line za Simu! Sio hizi kukurupapara zinazoelekea kuharibu maana nzima usajili wa Line za Simu.
NIDA sio part ya serikali au unaongelea serikali ipi? Au ujui ndani ya NIDA kuna usalama wa taifa, wizara ya mambo ya ndani etc?
 
Zoezi lilianza tokea 2013 enzi za jk chini ya mkurugenzi wa NIDA bwana Maimu, pigs hesabu miaka mingapi hadi ssa? Utasema serikali imekurupuka? Are you serious?
 
Attachments

  • 20200120_131527.jpg
    20200120_131527.jpg
    158.7 KB · Views: 2
Kwani tarehe 21 imefika?
Si walisema mwisho ni tarehe 20/1/2020, ina maana leo bado hawajasitisha/funga mawasiliano. Ikifika saa 5.dk 59.sek 59 usiku leo, basi watafunaga kama ni kweli watafanya hivyo.

Kama kwako wamekata, basi wewe uko mbele kwa siku nzima.
Ofisa Habari nimemsikia redioni leo. Kasema mwisho wa usajili ni leo siku itakapoisha. At close of business today kama hujajaza japo fomu ya kuomba namba na kuiwasilisha NIDA uwe na uhakika tu kuwa utafungiwa.
 
Great Thinkers mnakwama wapi, mmeshindwa kuelewa nilichoandika au ndiyo tuseme jf elimu ya kuelewa inatupa shida?
Pale mwisho nimeandika hiyo 👇

Sasa Badala ya kufafanua mnatupa madongo na kauli tata 😂 sijaelewa wadau, maana mimi sipo hewani huku.
Naona kuna nyuzi zimeunganishwa. Majibu unayopata ni ya uzi uliokuwa unasema TCRA wameanza kufanya mabo yao (Something like that)
 
Mimi nina daiwa shilingi 4900 kwenye nipige tafu..
kiukweli hii nilikuwa nataka nilipe ila nahofia laini yangu kufungwa kwasababu sijasajili kutumia alama za vidole..

Najua kuna wengine wanadaiwa songesha, Wengine M-pawa.. Wengine wamekopa airtel, halotel au tigo
Je laini zao zikifungiwa, nani atawalipa mitandao ya simu fidia?
Waache wapambane na hali zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zoezi lilianza tokea 2013 enzi za jk chini ya mkurugenzi wa NIDA bwana Maimu, pigs hesabu miaka mingapi hadi ssa? Utasema serikali imekurupuka? Are you serious?
Zoezi la NIDA kusajili lilikuwa ni Mkoa baada ya kumaliza Mkoa! Naomba unikumbushe ni lini NIDA walianza kuwasajili Wananchi wa Mkoa wa Kigoma!
 
NIDA sio part ya serikali au unaongelea serikali ipi? Au ujui ndani ya NIDA kuna usalama wa taifa, wizara ya mambo ya ndani etc?
Hao Tiss na Wizara ya mambo ya ndani wako chini ya nani kama sio Serikali?!
 
Naibu Waziri wa wizara ya mawasiliano na uchukuzi amenukuliwa mjini Kigoma akisema kuwa watu watakao zimiwa laini za simu ni wale ambao hawajajaza fomu za NIDA kabisa lakini Kwa wale walio jaza fomu za NIDA serikali itatumia hekima katika kudili na suala Lao.
MKUU HUKU TUNAPOZWA NA NDIDHI MAINDI KWENYE FOLENI YA NIDA 😂 😂😂
1579517709687.png
 
Mimi naona NIDA wapewe ruhusa ya kufuta utaraia wa wote walioshindwa kuthibitisha uraia wao ili wajiondolee lawama za kushindwa kutoa vitambulisho & namba kwa wakati
 
Coordination ya hii mifumo imefanywa kiholela sana hivi kuingiza data na kutoa designation number inachukua muda gani?
Swala kubwa hapa ni watu kutengeneza matatizo kwenye mfumo ili uendelee kuwanufaisha....
Naona huduma za simu za TTCL zikirudi pamoja na wale wenzangu wa kupigisha mitaani.(Fursa hii wadau)
Cheza na fursa mzee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom