Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kama Mtanzania ninapenda kujua, vipi kama nitaibiwa simu na line yangu kutumika kufanya uhalifu?

Vipi nitakuwa na kesi ya kujibu au?
Ukiwahi kuripoti mapema iwezekanavyo hakutakua na nafasi ya wezi kufanya uhalifu.
Kinyume cha hapo aandaa wakili wa kukutetea au dhamana, kutegemea na kosa lililofanywa!
 
Ukiwahi kuripoti mapema iwezekanavyo hakutakua na nafasi ya wezi kufanya uhalifu.
Kinyume cha hapo aandaa wakili wa kukutetea au dhamana, kutegemea na kosa lililofanywa!
Kutakua na range ya muda wa kuripoti polisi?.....Kwa njia hii huoni kama itakua ni rahisi kwa majambazi kumpanga mwenzeo kuwa ndiye aliyepotelewa na line?
 
Hivi unaelewa ule mlolongo wa kuripoti polisi?....Vipi kama huyo anayetoa taarifa za kupotea kwa line yake polisi akawa sehemu ya majambazi?
Hakuna mlolongo wowote ukienda kuripoti polisi unapewa loss report afu unaenda kurenew laini yako
 
Kitu cha kwanza na cha muhimu cha kufanya ni kupiga simu kwa mtandao husika (ukitumia simu ya ndugu, jamaa, rafiki) kueleza kua imeibiwa simu ili wai-block; tbaada ya hapo ndio uende kutoa taarifa polisi.
Hao TCRA kwenye hili waache kwanza
Hii inaweza kuwa njia nzuri....lakini ni vyema kujua matukuio ya kupotelewa na simu yanatokea katika hali mbalimbali
 
Kutakua na range ya muda wa kuripoti polisi?.....Kwa njia hii huoni kama itakua ni rahisi kwa majambazi kumpanga mwenzeo kuwa ndiye aliyepotelewa na line?
Cha kwanza ni kutaarifu kitengo cha huduma kwa wateja cha line yako ili wai-block. Wakisha-ifunga, hao wezi hawatakua na muda wa kutumia simu yako.
Baada ya hapo ndio uende polisi. Ukienda polisi huku simu bado iko hewani lazima uingie matatizoni
 
Na kwan nini,iwe usajili kwa kutumia kitambulisho cha nida wakati kama issue ni finger print ,siku hizi kuna e-passport,TRA,driving license,huko kote usajili unafanyika kwa alama za vidole .Hivi vitu vingetumika ,kama wanayo e-government wanashindwa vipi information za muhusika wakati zote ziko kwenye mifumo yao.Zoezi jepesi ila wanalifanya gumu sana ,tunapoteza muda kwenye mambo madogo sana
 
Hii inaweza kuwa njia nzuri....lakini ni vyema kujua matukuio ya kupotelewa na simu yanatokea katika hali mbalimbali
Kwa hali ilivyo sasa, utakapoibiwa tu simu, fanya ufanyalo kampuni ya simu husika waifunge hio line. Short of that, itakula kwako mazima! After all namba za huduma kwa wateja ni bure, haitam cost chochote utakayemuomba utumie simu yake kutoa taarifa
 
mdau mmoja memsikia akisema "siku zote mlaji/mtumiaji wa huduma ndo anatupiwa matatizo yote na ndo atahangaika kujinasua"

TRA line zifungwapo muje mtuambie ka mapato ya serikali yatokanayo na makampuni ya simu yamepungua ama kuongezekaa, kabla na baada ya kuzifunga line za simu
 
Lazima kwanza uende polisi vinginevyo laini yako ikikutwa katika mazingira ulipofanyika uharifu afu huna loss report imekula kwako vile vile ck hz huwez kurenew line bila kuwa na loss report
Kwa hiyo bila kujali uko wapi...ukipotelewa na simu unakimbilia polisi immediately?
 
Hii basi inabidi iwe elimu mpya kwa watanzania wote.....mana tuliowengi tukishapoteza simu kitu cha kwanza nikufanya utaratibu wa kutafuta pesa ununue simu nyingine, baada ya hapo ndio unaaza kuanza issues za ku-renew line(Kitu ambacho kinaweza kuchukua wiki mpaka mwezi)

Back
Top Bottom