Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Majibu umeshayapata kiutaratibu utakapo potelewa na kitu chochote nenda polisi katoe taarifa watakupa loss report, baada ya hapo nenda kwenye ofisi za mtandao husika wataiblock na kuswap lain yako na kuendelea na mawasiliano kwa namba yako.
Kama Mtanzania ninapenda kujua, vipi kama nitaibiwa simu na line yangu kutumika kufanya uhalifu?

Vipi nitakuwa na kesi ya kujibu au?

Hakuna uwezakano kwamba line zetu zitakua potential target kwa majambazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kuomba ni kwamba kabla hujafanikiwe kufika huko kote walioba wasije kufanya tukio
 
Kama Mtanzania ninapenda kujua, vipi kama nitaibiwa simu na line yangu kutumika kufanya uhalifu?

Vipi nitakuwa na kesi ya kujibu au?

Hakuna uwezakano kwamba line zetu zitakua potential target kwa majambazi?
ndiyo utakuwa na kesi ya kujibu endapo utakua haujareport polisi na kupewa loss report.
 
Duh! Asante

Kutukana nahisi ndio kitu unachokijua na unahisi matusi unayajua wewe tu.
We haujatukana unaposema unabishana na Mtu ambaye Uelewa wake uko chini?! Mimi natestify kitu ambacho nakijua! inawezeka Wewe unaishi nje ya Kigoma unaleta ubishi usio na maana!
 
Na kwan nini,iwe usajili kwa kutumia kitambulisho cha nida wakati kama issue ni finger print ,siku hizi kuna e-passport,TRA,driving license,huko kote usajili unafanyika kwa alama za vidole .Hivi vitu vingetumika ,kama wanayo e-government wanashindwa vipi information za muhusika wakati zote ziko kwenye mifumo yao.Zoezi jepesi ila wanalifanya gumu sana ,tunapoteza muda kwenye mambo madogo sana
Kasajili laini, acha visingizio ndugu, tumeshachoka kutapeliwa na wale wazee wa "hiyo pesa tuma kwenye namba hii.."
 
hata uibiwe bosi na line si zinazimwa Huyo jambazi atatumiaje hiyo line

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ulishawi kupoteza line?

Vipi ulishawi kupoteza simu?

Je ulikua na mawazo ya haraharaka kwamba ukimbilie kutoa taarifa polisi?

Hapa hatuongelei theories.....Ila nadhani hujawahi experience matukio kama hayo
 
Hapa nilipo nasubiri namba ya nida kama nitatumiwa, cos nimejiandikisha alhamis! But simlaumu Mh Rais wala TCRA, najilaumu mwenyewe kwa uzembe wangu!

Tangia 2008 zoezi la kutoa vitambulisho vya taifa lilitangazwa, leo miaka takribani 9 imepita bado sina kitambulisho...! Uzembe wangu umenicost ngoja niwajibike.
 
Bora umekiri uzembe wako. Wengine ni kama wewe lakini lawama wanazotoa utadhani walijiandikisha miaka mia iliyopita kumbe walipuuzia[emoji3].
Binafsi nilipata namba mwezi wa 9 ila nimesajili siku chache zilizopita, ni uzembe pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwan nini,iwe usajili kwa kutumia kitambulisho cha nida wakati kama issue ni finger print ,siku hizi kuna e-passport,TRA,driving license,huko kote usajili unafanyika kwa alama za vidole .Hivi vitu vingetumika ,kama wanayo e-government wanashindwa vipi information za muhusika wakati zote ziko kwenye mifumo yao.Zoezi jepesi ila wanalifanya gumu sana ,tunapoteza muda kwenye mambo madogo sana
Nilichogundua ni hiki,io mifumo yote ya nida,tra nk pamoja na zote kutumia fingerprint bado haziko linked.
 
Kwanini hao TCRA wasitoe njia rahisi ya mwananchi ku-block line yake pale anapoipoteza badala ya kutakiwa kwenda polisi? Na iwe rahisi kwa mwananchi mwenyewe kuirudisha hewani anapopata sim-card nyingine? Why polisi, polisi, polisi? Hawa jamaa wanavyokera! Rate ya kupoteza simu ni kubwa huko polisi si kutafurika kila siku? Kwanini teknolojia isitumike kurahisisha maisha kwa suala hili?
 
Back
Top Bottom