Ukiwahi kuripoti mapema iwezekanavyo hakutakua na nafasi ya wezi kufanya uhalifu.Kama Mtanzania ninapenda kujua, vipi kama nitaibiwa simu na line yangu kutumika kufanya uhalifu?
Vipi nitakuwa na kesi ya kujibu au?
Itategemeana na wallet yako dogo
Hivi unaelewa ule mlolongo wa kuripoti polisi?....Vipi kama huyo anayetoa taarifa za kupotea kwa line yake polisi akawa sehemu ya majambazi?Kwani ukiibiwa siunaenda kutoa taarifa polisi au ww ukiibiwa unaendaga kutoa taarifa kwa mganga?
Kutakua na range ya muda wa kuripoti polisi?.....Kwa njia hii huoni kama itakua ni rahisi kwa majambazi kumpanga mwenzeo kuwa ndiye aliyepotelewa na line?Ukiwahi kuripoti mapema iwezekanavyo hakutakua na nafasi ya wezi kufanya uhalifu.
Kinyume cha hapo aandaa wakili wa kukutetea au dhamana, kutegemea na kosa lililofanywa!
Hakuna mlolongo wowote ukienda kuripoti polisi unapewa loss report afu unaenda kurenew laini yakoHivi unaelewa ule mlolongo wa kuripoti polisi?....Vipi kama huyo anayetoa taarifa za kupotea kwa line yake polisi akawa sehemu ya majambazi?
Hii inaweza kuwa njia nzuri....lakini ni vyema kujua matukuio ya kupotelewa na simu yanatokea katika hali mbalimbaliKitu cha kwanza na cha muhimu cha kufanya ni kupiga simu kwa mtandao husika (ukitumia simu ya ndugu, jamaa, rafiki) kueleza kua imeibiwa simu ili wai-block; tbaada ya hapo ndio uende kutoa taarifa polisi.
Hao TCRA kwenye hili waache kwanza
Cha kwanza ni kutaarifu kitengo cha huduma kwa wateja cha line yako ili wai-block. Wakisha-ifunga, hao wezi hawatakua na muda wa kutumia simu yako.Kutakua na range ya muda wa kuripoti polisi?.....Kwa njia hii huoni kama itakua ni rahisi kwa majambazi kumpanga mwenzeo kuwa ndiye aliyepotelewa na line?
Kwa hiyo bila kujali uko wapi...ukipotelewa na simu unakimbilia polisi immediately?Hakuna mlolongo wowote ukienda kuripoti polisi unapewa loss report afu unaenda kurenew laini yako
Kwa hali ilivyo sasa, utakapoibiwa tu simu, fanya ufanyalo kampuni ya simu husika waifunge hio line. Short of that, itakula kwako mazima! After all namba za huduma kwa wateja ni bure, haitam cost chochote utakayemuomba utumie simu yake kutoa taarifaHii inaweza kuwa njia nzuri....lakini ni vyema kujua matukuio ya kupotelewa na simu yanatokea katika hali mbalimbali
wasitufariji ,tusiwafariji #WAFUNGE TUYamebaki masaa machache sana kuanzia sasa kabla ya kutolewa kwa tamko kutoka kwa namba moja litakalokwenda kuwaabisha tcra
fuatilia huu Uzi kwa updates
Kwa hiyo bila kujali uko wapi...ukipotelewa na simu unakimbilia polisi immediately?
Cha kwanza ni kutaarifu kitengo cha huduma kwa wateja cha line yako ili wai-block. Wakisha-ifunga, hao wezi hawatakua na muda wa kutumia simu yako.
Baada ya hapo ndio uende polisi. Ukienda polisi huku simu bado iko hewani lazima uingie matatizoni
Siku Mambo yanaenda kidigital loss report sio lazima uende polisi.ata kupitia online unajaza form,unapatiwa rb no.unalipia 500.,Kwa hiyo bila kujali uko wapi...ukipotelewa na simu unakimbilia polisi immediately?
Duh mambo ya kiusalama yanaenda simple hiviSiku Mambo yanaenda kidigital loss report sio lazima uende polisi.ata kupitia online unajaza form,unapatiwa rb no.unalipia 500.,