Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
unapoandika Watanzania wazembe unamaanisha Watanzania gani kwanza wanaotoa vitambulisho au wanahitaji au wote?Wa Dar na nje ya Dar wanatofauti gani?
Watanzania tuna uzembe fulani wa kipuuzi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unapoandika Watanzania wazembe unamaanisha Watanzania gani kwanza wanaotoa vitambulisho au wanahitaji au wote?Wa Dar na nje ya Dar wanatofauti gani?
Watanzania tuna uzembe fulani wa kipuuzi sana.
Sasa kama mtu alipoteza kitambulisho chake akakiokota mwingine akaenda kusajilia na aliye poteza akatoa taarifa polisi bado atakuwa responsible?
Sent using Jamii Forums mobile app
washatoa taarifa amna kumsajilia mtu laini kwa namba yako....ukibainika ni faini 5m au miezi sita jela
Sent using Jamii Forums mobile app
huu uzi haukuhusu bro ungepita kimyakimyaJumapili tarehe 19 mtawasiliana safi tu.
Kimbembe kitaanza saa 5:59 usiku wa tarehe 19.
Mtaamka na stress juu.
Wewe ni Polisi mbona maswali mengi?unapoandika Watanzania wazembe unamaanisha Watanzania gani kwanza wanaotoa vitambulisho au wanahitaji au wote?
KWA KILA MTANDAO LAIN 5 MJOMBAHiyo ya ID moja namba 5 naona ni uongo tu. Mimi nimesajili laini 7
voda 2, tigo 2,
airtel 2 na
halotel 1.
fikiria na ndugu zako huko nyabishenge we fisimadoa siyo kila koment lazima ujikombekombe kwa watawala. kama unadhani zoezi ni zuri subiri mapato yatokanayo na simu mwezi wa pili ndo ujue ujuha wako utakosa pesa ya nauli wallahNaona mnadanganyana hahahaha mlikuwa wapi siku zote? NIDA kuna shida lakini watanzania tuna shida zaidi,,,,, kuna namba nyingi sana zimeshatoka lakini hadi leo hazijasajiliwa ,,,,,,,,
mimi ni raia wa kawaida tu kama wewe.Wewe ni Polisi mbona maswali meni?
........Mtanzania yeyote ambae hana kitambulisho cha taifa bila sababu za msingi ni mzembe.
Zoezi la kujiandikisha upate kitambulisho cha taifa lina zaidi ya miaka minne mlikuwa wapi kujiandikisha?
Mkuu JF unatumia WI-FIWafunge tu sina watu wa kuwasiliana nao.. sana nitamiss JF
mkuu mbna inasemekana mpaka iwe mpya?za zaman hazikubali ndo imesemekanaWanakubari mi binafsi nmemsajilia wife. Ila ukimsajilia mtu taarifa zake za usajili wa mwanzo zinafutika unasomeka usajili mpya
Sent using Jamii Forums mobile app