Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Wa Dar na nje ya Dar wanatofauti gani?

Watanzania tuna uzembe fulani wa kipuuzi sana.
unapoandika Watanzania wazembe unamaanisha Watanzania gani kwanza wanaotoa vitambulisho au wanahitaji au wote?
 
Harafu huo mtego kwa mkurugenzi na mtoa bajeti kwakua sisi ni wafrika tuko gizani kwa hili na bado Sana kuwa huru wakupata taarifa ya Nini kinachoendelea kwenye hizi tasisi Kama hazina maana zifutwe tu
 
unapoandika Watanzania wazembe unamaanisha Watanzania gani kwanza wanaotoa vitambulisho au wanahitaji au wote?
Wewe ni Polisi mbona maswali mengi?

........Mtanzania yeyote ambae hana kitambulisho cha taifa bila sababu za msingi ni mzembe.

Zoezi la kujiandikisha upate kitambulisho cha taifa lina zaidi ya miaka minne mlikuwa wapi kujiandikisha?
 
Naona mnadanganyana hahahaha mlikuwa wapi siku zote? NIDA kuna shida lakini watanzania tuna shida zaidi,,,,, kuna namba nyingi sana zimeshatoka lakini hadi leo hazijasajiliwa ,,,,,,,,
fikiria na ndugu zako huko nyabishenge we fisimadoa siyo kila koment lazima ujikombekombe kwa watawala. kama unadhani zoezi ni zuri subiri mapato yatokanayo na simu mwezi wa pili ndo ujue ujuha wako utakosa pesa ya nauli wallah
 
Mie nilipata bahati ya ngekewa kabisa, kwa siku moja tu nilimaliza kila kitu na ndani ha mwez mmoja nikapata no. Yangu
 
Wewe ni Polisi mbona maswali meni?

........Mtanzania yeyote ambae hana kitambulisho cha taifa bila sababu za msingi ni mzembe.

Zoezi la kujiandikisha upate kitambulisho cha taifa lina zaidi ya miaka minne mlikuwa wapi kujiandikisha?
mimi ni raia wa kawaida tu kama wewe.

nikweli nakubaliana na wewe, mimi nimeamza kufatilia kitambulisho mwaka 2012 nikaambiwa umri bado wa kuanza hiyo process mwaka uliofata nikaanza process rasmi na kila kitu nimemaliza na kitambulisho mpaka leo sijapata bado utauliza nilikuwa wapi kujiandikisha?? mind you, siko peke yangu katika hili swala.

hilo neno sababu za msingi ndilo ulilotakiwa kusema katika maandiko yako sio upo nyuma ya keyboard unaropoka tu kama umekunywa gongo "Watanzania wapuuzi" nenda huko kwenye mafoleni ukaone watu wanavyochomeka na jua kwanza halafu ndo uje kuandika vzr.
 
mi nahisi naishi dunia ya pekeyangu. sijawahi kujali wala kujishugulisha na mambo ya NIDA. Cheti cha kuzaliwa nnacho, sijawahi kufanya process ya aina yoyote kuhusu vitambulisho , nmekaa tu nasubiri serikali ije inifate nyumbani inipige picha, inipe na namba. Katika vitu nmevipuuzia maishani ni hicho na wala sijali kabisa kuhusu kufungiwa line naona sawa tu,tena naona wanachelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabutupu hii imekaaje wao wanasema ni kosa lkn
IMG-20200118-WA0073.jpeg


MTC | 101| [emoji769]
 
Unatuhusiwa laini 10. Lakini sinasajiliwa kama zako. Kwa hiyo wewe una kua ndio rensiponsible.

Ndio maana nimeshauri tafuta ndugu.


Wanatisha hivi ili watu wasisajilie majambazi



Lakini sioni mantiki ya vitisho kama hivi wakati lengo la kusajili kwa vidole ni kuzuia matendo maovu kwa simu.

Tatizo TCRA ina wazee wengi sana ambao bado wapo analog
Tabutupu hii imekaaje wao wanasema ni kosa lkn View attachment 1326492

MTC | 101| [emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom